Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787][emoji1787]Wazalendo wako wengi mno , nyie wachumia tumbo mko wachache sana
Simzidi mh.Mbowe "mzee wa kubadilisha gia angani"....alilamba kwa mzee Lowassa na akawa radhi kuona akina Dr.Slaa na Lipumba wakiikimbia UKAWA....
Si tu hizi bilioni 2....kamarada Mbowe mzoefu sana wa hayo mambo.....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app