Mbowe: We are surrendering our Sovereignty to Dubai

Wazalendo wako wengi mno , nyie wachumia tumbo mko wachache sana
[emoji1787][emoji1787]
Simzidi mh.Mbowe "mzee wa kubadilisha gia angani"....alilamba kwa mzee Lowassa na akawa radhi kuona akina Dr.Slaa na Lipumba wakiikimbia UKAWA....

Si tu hizi bilioni 2....kamarada Mbowe mzoefu sana wa hayo mambo.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Slaa alinunuliwa na ccm kupitia tawi la Tiss kwa udalali wa Mwakyembe , ushahidi wote uko hapahapa jf
 
Tanzania hii kila mbulula ana uwezo wa kuita waandishi wa habari akaongea na kesho akaonekana magazetini au mitandaoni.

Mbowe mzee wa bapa, anajichukulia points muda huu kwa hoja nyepesi sana.
 
Slaa alinunuliwa na ccm kupitia tawi la Tiss kwa udalali wa Mwakyembe , ushahidi wote uko hapahapa jf
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unahamisha magoli....

Ushahidi wa mh.Mbowe kulamba kwa "laigwanan" upo.....

Baada ya uchaguzi Laigwanan akatonywa "mzee utafilisika...wazee wa magwanda ni ombaomba"[emoji1787]
Saccos....mh.Mbowe hatari....mzee wa fursa....[emoji1787]

Kule Ngome"beach" kila kitu juu yake....ikafikia mpaka maombi ya kuwasomeshea watoto wao....

Hivi mzee Chizii bado yupo huko ?!!! [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania hii kila mbulula ana uwezo wa kuita waandishi wa habari akaongea na kesho akaonekana magazetini au mitandaoni.

Mbowe mzee wa bapa, anajichukulia points muda huu kwa hoja nyepesi sana.
Mbowe hakuita Waandishi , ila yeye ndiye amefuatwa kutokana na umaarufu wake Duniani
 
Acha kulalamika mwanaume, piga kazi,,, eti ka emirate 😁 angalia bajeti yako na bajeti ya EMIRATES kwa mwaka ndio utajiona upo nyuma sana sana, hivi unafikiri wanashida sana na kabandari ka daslama!! Wakiikosa yote sawa tu, majamaa hayapungukiwi kitu,
 
Acha ukuda basi 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…