Mbowe: We are surrendering our Sovereignty to Dubai

Nimevisoma ila sijaona kifungu cha ku surrender our sovereignty. Wewe ambae pia umesoma vifungu niambie kifungu gani kime surrender our sovereignty?
Kama umesoma na hujavielewa sina cha kukusaidia Zaid ya maombi Chief.
 

Unataka kuniambia jamii ipi watu wake wakarimu sana duniani kama sio waarabu! Japo sio wote lakini most of them wana imani, utu na roho safi,, Tafadhali chuki weka pembeni, ongea facts mzee baba
 
🤣🤣🤣🤣 Dubai..
 
Wana shida, kwanini waingie mkataba kama hawana.
Wana shida nao.
 
Nilijua mtatoka mapangoni [emoji1787][emoji1787] chezea payroll wewe!!
Wasiwasi wako tu...

Chama kina hazina ya vijana...tusije kuelezea ukweli kwa UPOTOSHAJI kwa kuogopea tutaambiwa tuko katika "payroll"?!!![emoji1787][emoji1787]

Tunasukumwa tu na UKWELI...
Tunasukumwa tu na UTAIFA wetu...
Tunasukumwa tu na UTII kwa " PRESIDENTIAL DECREE"...

Karibu Al Kasus kijiwe cha kahawa hapa Chokocho [emoji1787][emoji1787]



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wana shida, kwanini waingie mkataba kama hawana.
Wana shida nao.

Sawaa, hata wakiikosa hawapungukiwi na lolote, chuki zimezidi kwa waarabu mpaka mtu anafikia kumtukana RAIS wetu Allahamzidishie heri mama yetu, na amlinde na watu wabaya wasiomtakia mazuri, angelikua myahudi au mzungu yangetokea haya yote!!


Ustaarabu hakuna, tumeendekeza chuki, roho mbaya na wivu japo sio wote, ndio maana hatuendelei.
 
Huna hata ujualo zaidi ya kutumika , nakutabiria kukimbia jukwaa muda si mrefu kama walivyokimbia chawa wengine
[emoji1787][emoji1787]
Tusekelege mnyaki mwenzangu wa Matema Kyela ...ninalo nijualo....[emoji1787]

Dadangu unatanguliza "argumentum ad hominem"?!![emoji1787]

Huwa sikimbi hoja....

Nipo sana JF....utabiri wako huo ni "kanjanja"[emoji1787]

Ndagha Fijo

#MamaAnaupigaMwingi[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tunasukumwa tu na UKWELI...
Tunasukumwa tu na UTAIFA wetu...
Tunasukumwa tu na UTII kwa "
Usiganye umma, hizi sifa ndan CCM hazipo!! Tuwe wakwel tuache unafiki, hiz sifa hamnazo. Hebu rudisha akili zako zote then ondoa uccm then fanya reference ya mikataba yoote tang awam ya tatu. Halaf angalia Taifa lilivyoingia hasara, pia angalia tang awamu ya tatu kashfa nzito za ufisadi chin ya utawala wenu. Halafu rudi sasa uanze kuwaaminisha wasiojua wajua!!! Kibaya zaid pamoja na ufisadi mkubwa lkn ni marufuku kuwachukulia hatua!! Hapo sielew ukwel, utii, utaifa uko wapi!!!
 
Nimevisoma ila sijaona kifungu cha ku surrender our sovereignty. Wewe ambae pia umesoma vifungu niambie kifungu gani kime surrender our sovereignty?
Ngoja nukuulize swali dogo. Katiba yetu inasemaje kuhusu ardhi
 
Huu ulihitaji kubadili sheria! Nyie majizi mlisahau!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tatizo lako ni hulka ya "generalization"....

Hivi unadhani ni akina Dr.Slaa na Zitto Kabwe walioibua kashfa hizi ?!!!

-EPA

-KAGODA

-DEEP GREEN

-MEREMETA

-TANGOLD

Na hii ya huku mwishoni ESCROW....hii ilianzia mbali japo tulikuwa watoto sana lakini kufanya USOMI WA KIUCHUNGUZI unatufunulia kuwa ESCROW ni mnyororo tokea IPTL....early 90's huko....

Taifa limeendelea kupambana na SKANDALI KUBWAKUBWA... mapambano hayo yakihusisha wanaCCM na wa vyama vingine....

Kibaya ni kuwa kwa mtu asiye na hofu ya kweli....nasema hofu ya kweli ya MWENYEZI MUNGU na kuzitambua TUNU ADHIMU za taifa huweza kununuliwa....hununulika akipewa "mpunga"....hili haliwezi kuwa kwa wanaCCM wote wala kwa wanaCHADEMA wote....ukisema ni "LAZIMA IWE HIVYO" basi wewe utakuwa unasukumwa na HISIA pasipo UHALISIA....[emoji1787][emoji1787]

Karibu mwakakogwa makunduchi tukaoge mwaka na kutambika huo mwezi wa 7[emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji7][emoji2956][emoji2956]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…