Mbowe: We are surrendering our Sovereignty to Dubai

Sasa c u mention wabunge wa CCM walioibua ufisadi tang enzi!
 
Ardhi ni mali ya Umma kwa mujibu wa Sheria zetu.
Mkataba unasemaje kuhusu Ardhi?
Kwanza unatakiwa ujue huyu bwana kapewa economy zones zote na atakazohtaji ikibidi. So kwa katiba yetu na sheria zetu. Hata raia wa Tz huwez kupewa ardhi Zaid ya miaka 99 achilia mbali mgeni. So swali la msingi hapa huyu mtu mkataba una miaka mingap ili tuaze kujua mengine kwanza.
 
Ingawaje kwa upande Wangu hawa watu ni wazur ila hizo terms na condition ndio za kubadilisha sasa cha kushangaza kuna watu wanamtetea mwarabu na huo mkataba cjui wana maslah gan. Kwanini usiseme ubadilishwe
 
Wapi imeandikwa hivyo?
 
Rushwa imetembea lazima
 
Sema icho kipengele ni kipi? Kuna shida gani ukakiweka hapa?
Bro cko home ningekuwekea. Bahati nzur mkataba ninao. Ila hata bila kifungu kitendo cha mkataba kutokuwa na eneo lenye hitimisho pindi mambo yakuwa tofauti ni hayo hayo tu. Bandar na maziwa na mito ni sehemu ya hiyo sheria ya ardhi .
 
Jikite kwenye hoja moja. Acha kukimbia kimbia!! Wewe ni mfano wa watu wengi humu mnaoongea mambo mengi bila uthibitisho na mnatujazia tu server zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…