[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo lako ni hulka ya "generalization"....
Hivi unadhani ni akina Dr.Slaa na Zitto Kabwe walioibua kashfa hizi ?!!!
-EPA
-KAGODA
-DEEP GREEN
-MEREMETA
-TANGOLD
Na hii ya huku mwishoni ESCROW....hii ilianzia mbali japo tulikuwa watoto sana lakini kufanya USOMI WA KIUCHUNGUZI unatufunulia kuwa ESCROW ni mnyororo tokea IPTL....early 90's huko....
Taifa limeendelea kupambana na SKANDALI KUBWAKUBWA... mapambano hayo yakihusisha wanaCCM na wa vyama vingine....
Kibaya ni kuwa kwa mtu asiye na hofu ya kweli....nasema hofu ya kweli ya MWENYEZI MUNGU na kuzitambua TUNU ADHIMU za taifa huweza kununuliwa....hununulika akipewa "mpunga"....hili haliwezi kuwa kwa wanaCCM wote wala kwa wanaCHADEMA wote....ukisema ni "LAZIMA IWE HIVYO" basi wewe utakuwa unasukumwa na HISIA pasipo UHALISIA....[emoji1787][emoji1787]
Karibu mwakakogwa makunduchi tukaoge mwaka na kutambika huo mwezi wa 7[emoji1787][emoji1787]
#SiempreJMT[emoji120]
#MamaAnaupigaMwingi[emoji7][emoji2956][emoji2956]
Sent from my TECNO F1 using
JamiiForums mobile app