MBOWE , wewe ni mfanyabiashara na kawaida ya wafanyabiashara huwa wanatafuta favor kutoka serikalini , hivyo ni ngumu wewe kuitoa ccm madarakani.

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako.

Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi.

Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
 
Kmmk wewe mqundu
Nashauri Rais ateue Tume maalum ya kukaa na wanachama wa Chadema katika kipindi hiki kigumu wanachopitia,laasivyo watajiua huko mitaani au kuuana wenyewe kwa wenyewe!!

Siasa kweli nyoko!
 
mbowe akiondoka tu kwenye uwenyekiti, na biashara zake zinakufa. maana atalambaje asali na kuiingiza kwenye biashara zake asipokuwa mwenyekiti? chadema huwa mnapambana na kufanya yote kwa ajili ya tumbo la mbowe na familia yake, pamoja na machawa anaowalipa waendelee kumlinda. ni mjanja sana. wewe ni mpinzani gani unapendwa na chama tawala? uliwahi ona wapi?
 
Mbowe hajawahi kujipendekeza CCM ndio maana amefilisiwa na kufungwa mara nyingi wewe umedanganywa na nani?
 
Hama kabisa na mkeo usije ukasingizia na mengine.
 
Moise Katumbi wa DRC unamfahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…