Mbowe yuko dakika 45 itv Muda huu

Mbowe yuko dakika 45 itv Muda huu

JET SALLI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
2,392
Reaction score
1,578
Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA.

Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
 
Du muda unakimbia sana amesema muda huu Mbowe yupo ITV,harafu mud huu nafungua ITV nakutana na mabo ya BUNDESLIGA....doooh...the time lapse is too much fast guys...bye!
 
Hapana anatekeleza wajibu wa kikatiba,
Kinachohitajika wajumbe nendeni mkaonyeshe ukomvu wa kidemokrasia ndani ya CHADEMA,
Ushindi wa Lissu utakuwa wa maana zaidi akiupata kupitia uchaguzi kuliko mbowe akijiitoa katika uchaguzi.
Na Lissu hawezi kushinda. Chama hakiwezi ongozwa kwa mihemko. Mtu hana nidhamu hadi kwa watawala leo ukampe chama?
 
Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA.

Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
Sultan bin Mangi Mbowe 😂😂🔥😂
 
Attachments

  • IMG_20250113_215602_216.jpg
    IMG_20250113_215602_216.jpg
    652.9 KB · Views: 2
  • IMG_20250113_215604_050.jpg
    IMG_20250113_215604_050.jpg
    910.3 KB · Views: 1
Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA.

Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
Gentleman,
umekasirishwa sana na kughadhabishwa na chairman mbowe kua kwenye kipindi cha DK 45 ITV, ama ni nini kimekuumiza zaidi kwa mfano?🐒
 
Hapana anatekeleza wajibu wa kikatiba,
Kinachohitajika wajumbe nendeni mkaonyeshe ukomvu wa kidemokrasia ndani ya CHADEMA,
Ushindi wa Lissu utakuwa wa maana zaidi akiupata kupitia uchaguzi kuliko mbowe akijiitoa katika uchaguzi.
Shida uchaguzi wenyewe chukua chako mapema wana manufaa nao zaidi ya wanachadema wanavyoweza nufaika nao ndio shida,huoni hata akina tlaah tlaah wameletwa kwa mkopo kuhakikisha mambo yanaenda kulingana na matarajio ya wana mboga mboga?
 
Anatumia nguvu kubwa sana aise
Na ndio shida hiyo yaani yeye ana amini kwamba uenyekiti wa CHADEMA umekuwa ni wa mfukoni mwake na kila anayejitikeza kugombea uenyekiti huo anageuka adui wake mkuu.Nimeamin kumbe Mbowe hana ukomavu wowote wa kisiasa zaidi ya kutumiwa na CCM.Nilisema hapa kwamba vikao vya Mbowe na mama SAMIA havina afya kwenye siasa za nchi na kwa CHADEMA Kwa ujumla wake na nikasema kwa vikao vile tutarajie vibe za kisanii kwa sababu mtu kasha lambishwa asali tamu.Sasa anang'ang'ania UENYEKITI ili kuendeleza kile alichoagizwa na CCM,WanaCHADEMA msikubali ujinga ulioingizwa kwenye chama makini tena kupitia kwa mtu mlie mwamini kwa nafasi ya uenyekiti kwa miaka ishirini.enough is enough kafanyeni maamuzi magumu tarehe 21 mwezi huu.Tuleteeni watanzania Tanzania yenye kuwajibika,Tanzania inayopaza sauti,na kupingana ujinga unaoendelezwa na Mbowe.
 
Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA.

Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
Asta fun wa heshima tu

Kama ya Leo hajayaona basi Ana shida kubwa
 
Back
Top Bottom