Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
🥱😒😒😒Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA.