Mbowe yuko dakika 45 itv Muda huu

Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA.

Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
🥱😒😒😒
 
Gentleman,
umekasirishwa sana na kughadhabishwa na chairman mbowe kua kwenye kipindi cha DK 45 ITV, ama ni nini kimekuumiza zaidi kwa mfano?🐒
Yeye anaonekana kutokuridhishwa na kuona kuna mtu wanaogombea nafasi moja,analalamika.
 
Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA.

Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
Kwani umelazimishwa kumsikiliza? Si ubadili channel hata uangalie cartoon tu!! Unajilazimisha nini kumsikia mtu ambaye humpendi. ? Wewe ni kichaa?

Sijawahi kuona mijitu MIPUMBAVH kama ra kambi ya Lissu
 
Du muda unakimbia sana amesema muda huu Mbowe yupo ITV,harafu mud huu nafungua ITV nakutana na mabo ya BUNDESLIGA....doooh...the time lapse is too much fast guys...bye!
umechelewa kipindi kimeisha
 
Sasa ndipo anaonyesha wazi his true colors....Madaraka hakika yanalevya.
 
Na Lissu hawezi kushinda. Chama hakiwezi ongozwa kwa mihemko. Mtu hana nidhamu hadi kwa watawala leo ukampe chama?
Chama hakiwezi kuongozwa na mtu ana risasi mwilini!! Mionzi ya risasi inaathiri ubongo wa Lissu
 
Mleta uzi ulikuwa wapi? Unaleta uzi kipindi kimeisha
 
Yeye anaonekana kutokuridhishwa na kuona kuna mtu wanaogombea nafasi moja,analalamika.
kwahivyo jambo hilo limekughadhabisha sana gentleman kama mdau wa demokrasia, right?🤣

Lakini pia unaonekana hata mpinzani wake hajaridhishwa na mbowe kugombea nafasi hiyo moja, ubaya uko wapi mathalan gentleman?🐒
 
Mbowe anashida kubwa,na anachokifanya ni chuki ambayo haina afya kwa CHADEMA.

Ulafi wa madaraka na kung'ang'ania madaraka ni jambo linalosikitiaha sana mtu ameamua nae kugombea nafasi ya uenyekiti imekuwa shida.
Aliongea Lissu, sawa. Akiongea Mbowe, nongwa!
 
kwahivyo jambo hilo limekughadhabisha sana gentleman kama mdau wa demokrasia, right?🤣

Lakini pia unaonekana hata mpinzani wake hajaridhishwa na mbowe kugombea nafasi hiyo moja, ubaya uko wapi mathalan gentleman?🐒
Yawezekana naongea na mtu mchanga sana kwenye Demokrasia za nchi hii na hususani ndani ya CHADEMA ndio maana unauliza maswali ambayo tayari tunishaeleza background yake.
 
SIasa za mageuzi TZ zinamuhitaji Gwiji - kamanda wa anga Mbowe- asante baba tuvusheee.

Hutaki tukutane TLP.
Mbowe Chadema kwake ni kitega uchumi!! Hivi sasa amelamba mabillioni ya Samia hata akishindwa kisha pata mtaji!!
Akishinda Chadema ndio kwishney na ndio furaha ya Samia!
Lakini naamini wajumbe kama kawaida yao watakula hela wanazohongwa lakini watapiga kura iliyo sahihi kwa nchi. Inshallah.
 
Na Lissu hawezi kushinda. Chama hakiwezi ongozwa kwa mihemko. Mtu hana nidhamu hadi kwa watawala leo ukampe chama?
Nidhamu kwa watawala, hao wanaoingia madarakani kwa kunajisi chaguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…