Una roho mbaya wewe!gaidi amaeachiwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una roho mbaya wewe!gaidi amaeachiwaje
Achana nalo Hilo lina stress zakeHivi wote tulisikiliza kesi, Ni wapi ugaidi ulifanywa?. Tanzania Ni nchi ya amani msituletee roho zenu za kiuaji.
,
Hakuna anayeweza hata kumnyooshea kidole akitoka, hata Makonda mlisema sijui cheo, mara sijui JPM ndo anamlinda ila siku akikosa wa kumkingia kifua mitaa itamgawana, yupo uraiani sasa ila mmebaki kucheza na key board tu.Sabaya yupo sehemu salama sana kwa aliyoyatenda akirudi uraiani bila cheo atachomwa moto na raia wenye hasira fikiria alivyo watesa na kuwanyanganya fedha zao akishirikiana na Meya wa Moshi Rahibu ona sasa Meya laana inavyo mtesa
Sabaya ni mzoefu wa ualifu atakuja kusamehewa mbele ya safari lakini akiwa amejifunza kidogo utu. Pamoja na makosa yanayomkabili ni viongozi wengi wenye makosa kama Sabaya ila tu kwakuwa bado wanalindwa bado hawajapelekwa mahakamani.Ila Sabaya alipotikisa vitengo vyake viovu kwani alikuwa anawafanyia mpaka Watu wa chama chake hapo ndipo wakaamua wamshikishe adabu kidogo.ili atakapo rudi ajue kuwa kuna watu na viatu.wakuu haki huinua taifa!
Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili
Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Kati ya Gaidi na Jambazi nani hatari zaidi??Lile ni jambazi lililokuwa linakaa ofisi ya umma.
Alikutwa na kesi ya kujibu, mbona mliomba asamehewe? Asamehewe nini wakati hana makosa?Wapi mbowe amehukumiwa kuwa ni gaidi? Amefungwa miaka mingapi?
Ndio maana mnaitwa nyumbu, huyo mwenyekiti wenu alikutwa na kesi ya kujibu. Mkaomba asamehewe na amesamehewa mambo ya ushahidi umemuokoa ni uongo.Sabaya ni jambazi na mahakama ilithibitisha. Mbowe alisingiziwa na ushahidi umeonyesha,waliofungua kesi wameona wanajihangaisha.
Alikutwa na kesi ya kujibu, na jana ilibid aanze utetezi. Hivi mnasomaga kesi kweli?Hivi wote tulisikiliza kesi, Ni wapi ugaidi ulifanywa?. Tanzania Ni nchi ya amani msituletee roho zenu za kiuaji.
,
Wewe ndio unahitaji elimu.Alikutwa na kesi ya kujibu, na jana ilibid aanze utetezi. Hivi mnasomaga kesi kweli?
Una head isiyoelewa na wala hupendi kuelewa.Alikutwa na kesi ya kujibu, mbona mliomba asamehewe? Asamehewe nini wakati hana makosa?
wakuu haki huinua taifa!
Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili
Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Wapi mbowe amehukumiwa kuwa ni gaidi? Amefungwa miaka mingapi?
Mleta mada ni km hana ubongo kabisa kichwani!wakuu haki huinua taifa!
Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili
Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Nani aliomba?Alikutwa na kesi ya kujibu, mbona mliomba asamehewe? Asamehewe nini wakati hana makosa?
Ugaidi wa laki 6?Kati ya Gaidi na Jambazi nani hatari zaidi??
Kwani ugaidi unapimwa kwa kiwango cha pesa??Ugaidi wa laki 6?
Huoni aibu MATAGA?