Mbowe yuko huru, Sabaya nae aachiwe

Mbowe yuko huru, Sabaya nae aachiwe

Sabaya yupo sehemu salama sana kwa aliyoyatenda akirudi uraiani bila cheo atachomwa moto na raia wenye hasira fikiria alivyo watesa na kuwanyanganya fedha zao akishirikiana na Meya wa Moshi Rahibu ona sasa Meya laana inavyo mtesa
Hakuna anayeweza hata kumnyooshea kidole akitoka, hata Makonda mlisema sijui cheo, mara sijui JPM ndo anamlinda ila siku akikosa wa kumkingia kifua mitaa itamgawana, yupo uraiani sasa ila mmebaki kucheza na key board tu.
 
wakuu haki huinua taifa!

Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili

Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Sabaya ni mzoefu wa ualifu atakuja kusamehewa mbele ya safari lakini akiwa amejifunza kidogo utu. Pamoja na makosa yanayomkabili ni viongozi wengi wenye makosa kama Sabaya ila tu kwakuwa bado wanalindwa bado hawajapelekwa mahakamani.Ila Sabaya alipotikisa vitengo vyake viovu kwani alikuwa anawafanyia mpaka Watu wa chama chake hapo ndipo wakaamua wamshikishe adabu kidogo.ili atakapo rudi ajue kuwa kuna watu na viatu.
 
Sabaya ni jambazi na mahakama ilithibitisha. Mbowe alisingiziwa na ushahidi umeonyesha,waliofungua kesi wameona wanajihangaisha.
Ndio maana mnaitwa nyumbu, huyo mwenyekiti wenu alikutwa na kesi ya kujibu. Mkaomba asamehewe na amesamehewa mambo ya ushahidi umemuokoa ni uongo.
 
wakuu haki huinua taifa!

Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili

Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida

bora aachiwe tu maana hata mbowe kesi yake ilikuwa nzito sana tu baada ya kuachiwa kashukuru na kuhaidi kuwa mpya katika ujengaji taifa itakuwaje huyu mwenye kesi ya ujambazi aendelee kubaki kwenye kizuizi
 
wakuu haki huinua taifa!

Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili

Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Mleta mada ni km hana ubongo kabisa kichwani!

Kuna uhusiano gani wa kuachiwa Mbowe na kuachiwa Sabaya?
 
Back
Top Bottom