Mbowe yuko huru, Sabaya nae aachiwe

Mbowe yuko huru, Sabaya nae aachiwe

wakuu haki huinua taifa!

Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili

Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida

Kama ni hivyo basi majambazi wote walio hukumiwa vifungo vya miaka 30 jela kwa sababu ya huo ujambazi wao wa kutumia nguvu, waachiliwe huru.

Maana haileti mantiki kumuachia huru jambazi mmoja tu! Eti kwa sababu ni kada wa ccm! Au unaonaje?
 
wakuu haki huinua taifa!

Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili

Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida

Tofauti iko hapo:

Sabaya nikibaka huwezi linganisha na Mbowe aliebambikiwa Kesi, huyo alishafutwa katika ulimwengu wa kidunia ata akiachiwa leo ,mnataka halalisha Kesi ya kutungwa ya Mbowe na matendo ya Sabaya , hii ni sawa na jua na mwezi acheni mbo ya ajabu
 
wakuu haki huinua taifa!

Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili

Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Tuwe serious sometimes, tupunguze mizaha. Ole Sabaya was a criminal in power. Alifanya ujambazi kabisa wa mtaani kwa kutumia silaha. Akitolewa Sabaya na wale majambazi wote wa unyang'anyi waliohukumiwa miaka 30 waachiwe huru. Yaani jela tuwaache wabakaji na walio Uwa.
 
Taifa lina safari ndefu sana kuelimisha watu wake, watu hawaelewi tofauti ya kukutwa na hatia na kusemwa una kesi ya kujibu. Unaweza kukuta watu wa hivi wana digirii kabisa lkn vichwani hakuna maarifa
 
Ndio maana mnaitwa nyumbu, huyo mwenyekiti wenu alikutwa na kesi ya kujibu. Mkaomba asamehewe na amesamehewa mambo ya ushahidi umemuokoa ni uongo.
Kukutwa na kesi ya kujibu ndio kukutwa na hatia ?

Kichwa chako unakitumia kama kifuniko cha mwili, jaribu kufikiria wakati mwingine sio unaongea mashudu tu hapa
 
"Ole wake" Sabaya yeye kahukumiwa na mahakama kwa kakutwa na makosa, Mbowe hajahukumiwa hivyo hao ni watu wawili tofauti kimahakama/kisheria, mmoja alikuwa mtuhumiwa na Mwingine ni mwenye hatia.

Wewe Muombee msamaha Sabaya tu bila kumuhusisha Mbowe.
kwani Babu Seya ilikuwaje? unaweza kuhukumiwa kwa mchongo na usifanye kitu
 
wakuu haki huinua taifa!

Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili

Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Sabaya kaumiza watu, kala rushwa ya waziwazi, ameumiza watu wengi bila kosa. Unataka atoke ili aende wapi wewe?
 
wakuu haki huinua taifa!

Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili

Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida

Ndiyo, maana kila mwenye ndevu ni mwanaume
 
wakuu haki huinua taifa!

Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili

Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Hebu ingia google isome "Nolle Prosequi" vizuri,na vigezo vyake.Utagundua kuwa Hii kitu hutolewa pale kukiwa hakuna Ushahidi wa kutosha wa kumtia mtu hatiani,Sasa kufananisha kesi ya Mbowe na kesi ya Sabaya,ni Makosa, Maana kesi moja yaani ya Mbowe ina kosa ushahidi wakati ile ya Sabaya Ina ushahidi wa kutosha.
 
gaidi amaeachiwaje
Wewe kimavi kweli.Tangu lini Mbowe akawa gaidi??.Mabosi wako wameona aibu wameamua kumuachia sasa wewe km mbwa unaendelea kubweka wakati Bwana wako amesema tulia huyo Mbowe si mtu mbaya.
 
wakuu haki huinua taifa!

Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili

Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Legacy ya Samia itakuwa ya upupu mtupu Mbowe alimfunga mwnyewe na bila kumpenda kamtoa mwenyewe halafu mapimbi yanataka Samia asifiwe kwa lipi? Labda kwa tabia ya kuwa Rais lia lia wa misaada! Sabaya kafungwa na Samia period!!
 
Back
Top Bottom