Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
wakuu haki huinua taifa!
Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili
Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Kama ni hivyo basi majambazi wote walio hukumiwa vifungo vya miaka 30 jela kwa sababu ya huo ujambazi wao wa kutumia nguvu, waachiliwe huru.
Maana haileti mantiki kumuachia huru jambazi mmoja tu! Eti kwa sababu ni kada wa ccm! Au unaonaje?