Mbowe yuko huru, Sabaya nae aachiwe

Mbowe yuko huru, Sabaya nae aachiwe

Bwana Kajeba,nina uhakika akili zako haziko sawa,Sabaya ni Jambazi kama Majambazi mengine tu,kule Kisongo Jela aliko ndiko kunakomfaa hakuna namna
 
Sabaya na makonda uhitaji torch kupata ushahidi wa ujambazi wao Mbowe wamekosa ushahidi thus wamemuachia.
Tangu wawambike kesi wazee wa escrow na wazee wa uhamsho kuwa na imani nayo ni lzm uwe na utindio wa ubongo
 
Legacy ya Samia itakuwa ya upupu mtupu Mbowe alimfunga mwnyewe na bila kumpenda kamtoa mwenyewe halafu mapimbi yanataka Samia asifiwe kwa lipi? Labda kwa tabia ya kuwa Rais lia lia wa misaada! Sabaya kafungwa na Samia period!!
Tangu lini mswahili amewahi kuwa na akili
 
"Ole wake" Sabaya yeye kahukumiwa na mahakama kwa kakutwa na makosa, Mbowe hajahukumiwa hivyo hao ni watu wawili tofauti kimahakama/kisheria, mmoja alikuwa mtuhumiwa na Mwingine ni mwenye hatia.

Wewe Muombee msamaha Sabaya tu bila kumuhusisha Mbowe.
Kesi ilikuwa inaemdelea
 
wakuu haki huinua taifa!

Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili

Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Unataka ujambazi uongezeke
 
Kesi za jamhuri ndiyo anaweza kuziingilia na kuzifuta,sabaya anakesi zingine raia wamshitaki zinamngoja hapo moshi
 
Tuwe serious sometimes, tupunguze mizaha. Ole Sabaya was a criminal in power. Alifanya ujambazi kabisa wa mtaani kwa kutumia silaha. Akitolewa Sabaya na wale majambazi wote wa unyang'anyi waliohukumiwa miaka 30 waachiwe huru. Yaani jela tuwaache wabakaji na walio Uwa.

Siyo sometimes tu. Tuwe serious always.
 
Ndio maana mnaitwa nyumbu, huyo mwenyekiti wenu alikutwa na kesi ya kujibu. Mkaomba asamehewe na amesamehewa mambo ya ushahidi umemuokoa ni uongo.
Labda kama wewe ndo umemsamehe. Nchi nzima na dunia tunajua serikali imefuta kesi kwa kukosa ushahidi. Imeisha hiyo hutaki jinyonge
 
wakuu haki huinua taifa!

Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili

Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Yule ni jambazi sugu mpumbavu, kwanza aongezwe adhabu ... Hebu imagine unatumia gari za Jumuia ya Umoja wa Mataifa (UN) kwenda kufanya uhalifu ?

UN imetoa magari ili kukamilisha mission mbalimabli katika mipango yake ya maendeleo ya kimataifa kwenye eneo la JMT

Halafu anaibuka garagosi mmoja wa kimasai anachukua gari hizo (sio hiyo ni hizo) eti kwa sababu yeye ni DC, then anazitumia gari hizo kukamilisha mission zake za uvamizi na ujambazi kwa faida yake binafsi

Yaani alitaka tuamini kuwa moja ya mission za UN ni kufanya ujambazi, kupora mali za watu kubaka na ulawiti. Shenzi kabisa

Nashauri asokomezwe miaka mingine 60 jela pumbavu huyo
 
wakuu haki huinua taifa!

Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili

Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Amalizie kesi zake kwanza ujambazi wake hauna mfano,moshi kesi 9 zinamsubiria ngoja amalize kwanza za arusha imebaki kesi moja kusomwa
 
wakuu haki huinua taifa!

Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili

Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Pumbavu pumbavu
Yaani mtu aendeleze magenge ya ujangili na uporaji wa wazi halafu aachiliwe KISA mbowe kaachiliwa?
Pumbavu pumbavu kabisa
 
wakuu haki huinua taifa!

Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili

Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida
Kesi ya Sabaya na Mbowe ni tofauti kabisa Mkuu. Sabaya ni Jambazi dhahiri kabisa. Alikuwa anafanya Ujambazi hadharani kwa Kofia ya Ukuu Wa Wilaya..
 
Sabaya yupo sehemu salama sana kwa aliyoyatenda akirudi uraiani bila cheo atachomwa moto na raia wenye hasira fikiria alivyo watesa na kuwanyanganya fedha zao akishirikiana na Meya wa Moshi Rahibu ona sasa Meya laana inavyo mtesa
hivi huyo meya kwa sasa yuko wapi ?
 
Back
Top Bottom