Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
Ili aje kuendelea kukata watu masikio na kubaka binti zetu kwa kutumia cheo chake. Acha kwanza abakwe na nyapara wakimalizana naye ndo aje hukuwakuu haki huinua taifa!
Mbowe alishitakiwa kwa makosa ya ugaidi na serikali kwa uoni wake imeamua kuifutilia mbali kesi hiyo na sasa kila mtu anafurahi na kupongeza kwa hili
Lakini kuna huyu Sabaya aliyehukumiwa miaka 30, tusijiulize sana katika hili pia
Mama afanye wepesi kijana asamehewe arejee na maisha ya uraiani kama kawaida