Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Unadhani Lucas anapewa pesa yoyote? Dogo anashinda Lumumba tu pale anaomba omba na wengine ndo wanamtumia vibaya. Kajamaa kamechoka sana.Rushwa
Bwashee nyoosha kiswahili tupate uelewa wa pamojaHuko nyuma hakuwa hivyo ameharibiwa na Makonda na Kafulila.
Big no ni PS wa UWT Wilaya ya ChunyaUnadhani Lucas anapewa pesa yoyote? Dogo anashinda Lumumba tu pale anaomba omba na wengine ndo wanamtumia vibaya. Kajamaa kamechoka sana.
Bwashee maana yake ni nini sheikh wangu?Bwashee nyoosha kiswahili tupate uelewa wa pamoja
Shauri yako. Huwa anakuja hapo Lumumba anakaa tu koridoni. Amechoka tuBig no ni PS wa UWT Wilaya ya Chunya
netapussyForm za kugombea zimegeuka kama mtihani wa NECTA, Mchengerwa ni mjinga sn
Namfahamu ni dada anguShauri yako. Huwa anakuja hapo Lumumba anakaa tu koridoni. Amechoka tu
Sawanetapussy
kutokujua kwako sheria hakuwezi kumzuia jaji wa mahakama kukuhukumu kufungwa jela miaka30 au maisha gentleman..Ulete na hivyo vifungu vya sheria Ili tujue hata Kujaza jina Kwa kuanza na herufi ndogo ni kosa kisheria
Nyie ndio Trump amesema mbadilishwe ziwekwe AI maana na gharama ya Maji ya kuchambia na toilet paper itapungua ππ
Tuletee hivyo vifungu basi πππkutokujua kwako sheria hakuwezi kumzuia jaji wa mahakama kukuhukumu kufungwa jela miaka30 au maisha gentleman..
utawajibishwa ipasavyo kwa umbumbumbu wako katika sheria ili iwe fundisho kwa wengine, maana hakuna namna nyingine sasa π€£
kwenye press conference, chairman Mbowe alisoma nini gentleman?Tuletee hivyo vifungu basi πππ
Ujinga mtupu. Eti kukiuka miiko. Nchi hii ingekuwa na Viongozi wanao jua miiko kazi na majukumu Nchi hii isingekuwa kwenye Abject poverty kama sasa. Achani Uhayawani kwenye mambo ya msingi.ni muhimu sana kua makini na serious kwenye mambo muhimu ya msingi,hasa ya kisheria na kikatiba..
unaweza kua sahihi kusema, lakini ukakosea vibaya sana kutenda.
haikubaliki kunajisi sheria na katiba ya nchi kwa kukosea au kukiuka kwako miiko, vigezo na masharti mahususi yaliyowekwa kama utaratibu wa kuwashindanisha wenye mawazo na fikra tofauti.
kuzingatia sheria ni suala mtambuka jumuishi. Asie zingatia hilo ni muhuni tu π
sasa mbona hujaweka uerevu gentleman, badala yake umeweka mihemko ya kinyumbu tu gentleman? dah π€£Ujinga mtupu. Eti kukiuka miiko. Nchi hii ingekuwa na Viongozi wanao jua miiko kazi na majukumu Nchi hii isingekuwa kwenye Abject poverty kama sasa. Achani Uhayawani kwenye mambo ya msingi.
Hili linafikirisha sana, kwamba wagombea wa ccm wote hakuna asiyejua kujaza form. Lakin wale wa upinzan hawajui kujaza.
Hao wahuni wanaangalia vyama na kufanya ubaguzi, siyo kuzingatia vigezo.haikubaliki kunajisi sheria na katiba ya nchi kwa kukosea au kukiuka kwako miiko, vigezo na masharti mahususi yaliyowekwa kama utaratibu wa kuwashindanisha wenye mawazo na fikra tofauti.
Hao wahuni wanaangalia vyama na kufanya ubaguzi, siyo kuzingatia vigezo.
Mfano, angalia hapa chini, mwana ccm kakosea sana kujaza fomu lakini akapitishwa kwa kuwa tu ni ccm..
View: https://x.com/HildaNewton21/status/1855911722613195030?t=9QfRH1egtJCLzBwJmbKLfw&s=19
Gentleman,Hao wahuni wanaangalia vyama na kufanya ubaguzi, siyo kuzingatia vigezo.
Mfano, angalia hapa chini, mwana ccm kakosea sana kujaza fomu lakini akapitishwa kwa kuwa tu ni ccm..
View: https://x.com/HildaNewton21/status/1855911722613195030?t=9QfRH1egtJCLzBwJmbKLfw&s=19
Dogo,Gentleman,
hayo ya huko x na spaces, kutwa kucha kaupotoshaji hako hako tu mnatembea nako,
wakati huyo si miongoni mwa wagombea uongozi popote nchini, ila mmeokota picha ya hata asiehusika mkajaza fomu mjuavyo ili kuvutia huruma ya wananchi..
hiyo ni useless,
kampeni zinaanza rasmi kesho na uchaguzi ni tar 27 Nov 2024π
Dogo,
Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho..
Hizo sarakasi zenu za hila, wizi, utapeli, uporaji, nk mwisho wake waja
Kila nafsi itaonja umauti bila mbambamba yoyote gentleman.Dogo,
Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho..
Hizo sarakasi zenu za hila, wizi, utapeli, uporaji, nk mwisho wake waja
Usipokunywa visungura unakuwa na busara au uko kwenye dozi?Katika hili Nakubaliana na Freeman kwamba Lengo la Kujaza Fomu za uchaguzi ni kukusanya Taarifa za Wagombea Ili kuona kama wanakizi vigezo
Ni sahihi kumuengua Mgombea aliyepungukiwa vigezo Lakini siamini kama ni Sahihi kumuengua Mgombea aliyekosea Kujaza Fomu
Benki kwenyewe tunakoseaga mara kibao Kujaza Fomu mfano namba ya account Lakini Teller anakuelimisha tu kisha unarekebisha na kuvuta mpunga π
Ahsanteni sana
PIA SOMA
- LGE2024 - Mbowe: CHADEMA haitajitoa katika uchaguzi Serikali za Mitaa. Wagombea wetu walioenguliwa kihuni warejeshwe