LGE2024 Mbowe yuko sahihi Mgombea Kujaza Fomu siyo Mtihani ni kuweka tu Kumbukumbu zake kimaandishi kwenye Mfumo wa Pamoja!

LGE2024 Mbowe yuko sahihi Mgombea Kujaza Fomu siyo Mtihani ni kuweka tu Kumbukumbu zake kimaandishi kwenye Mfumo wa Pamoja!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ulete na hivyo vifungu vya sheria Ili tujue hata Kujaza jina Kwa kuanza na herufi ndogo ni kosa kisheria

Nyie ndio Trump amesema mbadilishwe ziwekwe AI maana na gharama ya Maji ya kuchambia na toilet paper itapungua 😂😂
kutokujua kwako sheria hakuwezi kumzuia jaji wa mahakama kukuhukumu kufungwa jela miaka30 au maisha gentleman..

utawajibishwa ipasavyo kwa umbumbumbu wako katika sheria ili iwe fundisho kwa wengine, maana hakuna namna nyingine sasa 🤣
 
Tuletee hivyo vifungu basi 😂😂😂
kwenye press conference, chairman Mbowe alisoma nini gentleman?

au kwa vile ni mjanja mnjanja na haiaminiki kwahiyo hamuamini hata kifungu alichosoma kama ni kweli ama la, right?🤣
 
Wenzetu wanakimbizana na matakwa ya dunia ya kesho sisi bado tunatamani matakwa ya dunia ya 1960 yaendelee kutumika hapa kwetu hadi mwisho wa dahali. Je TUTAFIKA?
 
ni muhimu sana kua makini na serious kwenye mambo muhimu ya msingi,hasa ya kisheria na kikatiba..

unaweza kua sahihi kusema, lakini ukakosea vibaya sana kutenda.

haikubaliki kunajisi sheria na katiba ya nchi kwa kukosea au kukiuka kwako miiko, vigezo na masharti mahususi yaliyowekwa kama utaratibu wa kuwashindanisha wenye mawazo na fikra tofauti.

kuzingatia sheria ni suala mtambuka jumuishi. Asie zingatia hilo ni muhuni tu 🐒
Ujinga mtupu. Eti kukiuka miiko. Nchi hii ingekuwa na Viongozi wanao jua miiko kazi na majukumu Nchi hii isingekuwa kwenye Abject poverty kama sasa. Achani Uhayawani kwenye mambo ya msingi.
 
Ujinga mtupu. Eti kukiuka miiko. Nchi hii ingekuwa na Viongozi wanao jua miiko kazi na majukumu Nchi hii isingekuwa kwenye Abject poverty kama sasa. Achani Uhayawani kwenye mambo ya msingi.
sasa mbona hujaweka uerevu gentleman, badala yake umeweka mihemko ya kinyumbu tu gentleman? dah 🤣
 
Hili linafikirisha sana, kwamba wagombea wa ccm wote hakuna asiyejua kujaza form. Lakin wale wa upinzan hawajui kujaza.
haikubaliki kunajisi sheria na katiba ya nchi kwa kukosea au kukiuka kwako miiko, vigezo na masharti mahususi yaliyowekwa kama utaratibu wa kuwashindanisha wenye mawazo na fikra tofauti.
Hao wahuni wanaangalia vyama na kufanya ubaguzi, siyo kuzingatia vigezo.

Mfano, angalia hapa chini, mwana ccm kakosea sana kujaza fomu lakini akapitishwa kwa kuwa tu ni ccm..

View: https://x.com/HildaNewton21/status/1855911722613195030?t=9QfRH1egtJCLzBwJmbKLfw&s=19
 
Gentleman,
hayo ya huko x na spaces, kutwa kucha kaupotoshaji hako hako tu mnatembea nako,

wakati huyo si miongoni mwa wagombea uongozi popote nchini, ila mmeokota picha ya hata asiehusika mkajaza fomu mjuavyo ili kuvutia huruma ya wananchi..

hiyo ni useless,
kampeni zinaanza rasmi kesho na uchaguzi ni tar 27 Nov 2024🐒
 
Dogo,
Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho..

Hizo sarakasi zenu za hila, wizi, utapeli, uporaji, nk mwisho wake waja
 
Kila nafsi itaonja umauti bila mbambamba yoyote gentleman.

hangaika na utaratibu wako gentleman, huna haja ya kubabaika kwa mihemko na utaratibu wa wengine 🐒
 
Katika hili Nakubaliana na Freeman kwamba Lengo la Kujaza Fomu za uchaguzi ni kukusanya Taarifa za Wagombea Ili kuona kama wanakizi vigezo

Ni sahihi kumuengua Mgombea aliyepungukiwa vigezo Lakini siamini kama ni Sahihi kumuengua Mgombea aliyekosea Kujaza Fomu

Benki kwenyewe tunakoseaga mara kibao Kujaza Fomu mfano namba ya account Lakini Teller anakuelimisha tu kisha unarekebisha na kuvuta mpunga 😄

Ahsanteni sana

PIA SOMA
- LGE2024 - Mbowe: CHADEMA haitajitoa katika uchaguzi Serikali za Mitaa. Wagombea wetu walioenguliwa kihuni warejeshwe
Usipokunywa visungura unakuwa na busara au uko kwenye dozi?
 
Back
Top Bottom