CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mwishowe watambadilishia matumizi.Unadhani Lucas anapewa pesa yoyote? Dogo anashinda Lumumba tu pale anaomba omba na wengine ndo wanamtumia vibaya. Kajamaa kamechoka sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwishowe watambadilishia matumizi.Unadhani Lucas anapewa pesa yoyote? Dogo anashinda Lumumba tu pale anaomba omba na wengine ndo wanamtumia vibaya. Kajamaa kamechoka sana.
Nimecheka kijinga sana mkuuIla wewe shetani kati ya UWT wote huwa una akili sn kwenye ukweli huwa hupindishi kama yule shetani Lucas Mwashambwa
Kama upo picha yake mkuu tafadhaliUnadhani Lucas anapewa pesa yoyote? Dogo anashinda Lumumba tu pale anaomba omba na wengine ndo wanamtumia vibaya. Kajamaa kamechoka sana.
Tayari zamani sana.Mwishowe watambadilishia matumizi.
Wamemfanya kama pombe ya ngomani watu wanajichotea tu.CCM wa aina yako huwa hatuwapi nafasi za juu za uongozi. Tunataka CCM kama akina Mwashambwa lakini wawe na akili angaa kidogo. Huyu Lucas amechezewa chezewa sana ni aibu kumpa vyeo. Wapinzani watatucheka.
Picha za watu aina yake huwa siweki kwenye simu watu watanielewa vibaya. Mimi situmii mabwabwah.Kama upo picha yake mkuu tafadhali
Usikute sasa hivi anavaa pampas kabisa.Huko nyuma hakuwa hivyo ameharibiwa na Makonda na Kafulila.
Kabisa....akitibuliwa na Makonda anakuja Kafulila.... Na Makamba alishapita kuonana na huyu dogoWamemfanya kama pombe ya ngomani watu wanajichotea tu.
Atakufa kinywa waziKIFUA KIPANA anamwisho mbaya sana yeye anaamini wachawi na masheikh wake wa rufiji kwa ndumba lkn Mungu yupo.
Wapi, tuna mwenyekiti wetu ukifika ofisini anakupa form ujaze mwenyewe, hapo mtamalizia ile ya uchaguzi alijazaje. Labda huwa wanajaziwaHili linafikirisha sana, kwamba wagombea wa ccm wote hakuna asiyejua kujaza form. Lakin wale wa upinzan hawajui kujaza.
Unadhani wapinzani wote wammekosea na CCM wote wamepatia inakuja akilini? Wakati mwingine muongee mambo yenye tija kwa nchi siyo tija ya matumbo yenu.ni muhimu sana kua makini na serious kwenye mambo muhimu ya msingi,hasa ya kisheria na kikatiba..
unaweza kua sahihi kusema, lakini ukakosea vibaya sana kutenda.
haikubaliki kunajisi sheria na katiba ya nchi kwa kukosea au kukiuka kwako miiko, vigezo na masharti mahususi yaliyowekwa kama utaratibu wa kuwashindanisha wenye mawazo na fikra tofauti.
kuzingatia sheria ni suala mtambuka jumuishi. Asie zingatia hilo ni muhuni tu 🐒
Dogo,Gentleman,
hayo ya huko x na spaces, kutwa kucha kaupotoshaji hako hako tu mnatembea nako,
wakati huyo si miongoni mwa wagombea uongozi popote nchini, ila mmeokota picha ya hata asiehusika mkajaza fomu mjuavyo ili kuvutia huruma ya wananchi..
hiyo ni useless,
kampeni zinaanza rasmi kesho na uchaguzi ni tar 27 Nov 2024🐒
kwahiyo gentleman,Dogo,
Hakuna upotoshaji wowote hapo.
Kwenye hiyo fomu jina la mhusika lipo, namba ya simu ipo na location ni Arusha. Wacha kulialia, mpigie ujiridhishe
Gentleman,Unadhani wapinzani wote wammekosea na CCM wote wamepatia inakuja akilini? Wakati mwingine muongee mambo yenye tija kwa nchi siyo tija ya matumbo yenu.
Tupo pamoja mkuuNimecheka kijinga sana mkuu
Ila wewe shetani kati ya UWT wote huwa una akili sn kwenye ukweli huwa hupindishi kama yule shetani Lucas Mwashambwa
Hana shida yeye posho ikichelewa anawageuka vizuri CCMHahahaa Mbatizaji huwa sometime anapiga kwenye mshono.
Uchaguzi gani?!kwahiyo gentleman,
tuahirishe uchaguzi nchi nzima tukajiridhishe sio?🤣
Ni maajabu ya karne hayo!!,sijui itajitokeza hata mwaka kesho?!,ngoja tuone.Hili linafikirisha sana, kwamba wagombea wa ccm wote hakuna asiyejua kujaza form. Lakin wale wa upinzan hawajui kujaza.