Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Gentleman,Uchaguzi gani?!
Hapo kwenye neno 'uchaguzi' andika 'WIZI'
wizi wa malori au wizi wa kura kama ule wa kwenye uchaguzi wa chadema Arusha aliousema Lema?🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gentleman,Uchaguzi gani?!
Hapo kwenye neno 'uchaguzi' andika 'WIZI'
Dogo,Gentleman,
wizi wa malori au wizi wa kura kama ule wa kwenye uchaguzi wa chadema Arusha aliousema Lema?🐒
Kigaila na Lema kwenye uchaguzi wa chadema waliojaribu kuiba kura kwaajili ya marafiki, ndugu na jamaa ikaleta songombingo hadi saivi hawaelewani aise dah 🐒Dogo,
Wizi wa kura unaotekelezwa na wanaokutumia
Dogo,Kigaila na Lema kwenye uchaguzi wa chadema waliojaribu kuiba kura kwaajili ya marafiki, ndugu na jamaa ikaleta songombingo hadi saivi hawaelewani aise dah 🐒
Dogo,
Wacha porojo, weka hapa ushahidi.
Wizi wa kura ni kazi ya ccm, baadhi ya ushahidi huu hapa..
👇
View: https://youtu.be/KRfKPgrLc0Y?si=wT5icAa4AoFqXaZU
View: https://youtu.be/eypKQVh6gLA?si=SoHW2VcW-etp43_R
Hayo unayo yasema siyo sahihi wapinzani wameenguliwa kwa sababu za kipuuzi siyo hizo unazo sema wapinzani siyo watototo wadogo kuwa hawajui sheria na Taratibu nchi nyingine unaporudisha form mgombea na msimamizi wanakaa meza moja nakukagua form kama imejazwa vizuri kama inamapungufu unaambiwa pale pale urekebishe lakini Tanzania msimamizi wauchaguzi na mgombea wa upinzani ni maadui kiasi mgombea wa upinzani akikutana na msimamizi wa uchaguzi kichochoroni anaweza akamkaba kwa jinsi alivyo na hasira naye. Chaguzi haziendi hivyo CCM, haiwatendei haki wananchi wake kupata viongozi wanao wataka.Gentleman,
wapinzani wengi hawajajiandikisha kwenye daftari la wakazi wa eneo husika na kwahiyo hawatambuliki lakini, lakini ETI wamepotoshana wao kwa wao, wameenda kuchukua fomu ati nao wagombee🤣
wanachama wa CCM wote nchi nzima zaidi ya milioni 35 wamejiandikisha na kwahiyo hiyo inathibitisha kua ni wakazi wa eneo husika wanatambulika na kwahiyo wengi wao wamejaza fomu hapo hapo ofisini na kuirudisha...
sasa wapinzani mpaka waipeleke fomu kwa mganga kwajili ya ushirikina, watashinda kweli uchaguzi 🤣
sio sahihi kivipi gentleman wakati ndio ukweli na hali halisi ya mambo?Hayo unayo yasema siyo sahihi wapinzani wameenguliwa kwa sababu za kipuuzi siyo hizo unazo sema wapinzani siyo watototo wadogo kuwa hawajui sheria na Taratibu nchi nyingine unaporudisha form mgombea na msimamizi wanakaa meza moja nakukagua form kama imejazwa vizuri kama inamapungufu unaambiwa pale pale urekebishe lakini Tanzania msimamizi wauchaguzi na mgombea wa upinzani ni maadui kiasi mgombea wa upinzani akikutana na msimamizi wa uchaguzi kichochoroni anaweza akamkaba kwa jinsi alivyo na hasira naye. Chaguzi haziendi hivyo CCM, haiwatendei haki wananchi wake kupata viongozi wanao wataka.
Hata mtihani hausahihishwi hivyo wengi tungefeli mbona?Form za kugombea zimegeuka kama mtihani wa NECTA, Mchengerwa ni mjinga sn
Mchengerwa ni mtu wa hovyo kama mama mkwe wakeHata mtihani hausahihishwi hivyo wengi tungefeli mbona?
Nyimbo zenu ni hizo hizo miaka yote japo eneo nilipo mimi wagombea wote wa CCM nawafahamu na nimajirani zangu pia ni watu wema kwani huwa hawana zile shida ndogo ndogo za kudai dai vijisent ila kusema kweli CCM ni waoga wakushindana. sijui ni kitu gani kinawatisha asilimia kubwa ya wagombea wa CCM wanafahamika vizuri na wananchi na wengi wapo karibu nao. Na ccm ina wanachama na mashabiki wengi lakini wanawaoogapa wapinzani Sana hasa mijini. Hii inaleta picha mbaya kwenye chaguzi zetu na inasababisha nchi kuwa na Chokochoko, hali ya uchumi mpaka sasa haijaimarika sababu ya uminyaji wa Demokrasia kwani mkiacha uchaguzi uwe huru na haki mtakosa nini? I mnazo rasilimali zote ambazo zinawawezesha kushindana na kushinda bila mizengwe tatizo mnataka mpate viti vyote hata kama ni kwa bao la mkono.sio sahihi kivipi gentleman wakati ndio ukweli na hali halisi ya mambo?
mgombea wa upinzani mtu mzima Mzee haoni sawa sawa, anarudia na kukosea kujaza fomu zaidi ya saba, kuna haja gani kumpitosha kiongozi kama huyo?
CCM ina wagombea vijana wasomi wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali nchini, anakoseaje kujaza fomu?
Kampeni zinaanza rasmi leo, hebu shiriki ushuhudie vijana makini wa CCM wanavyo ainisha mipango yao watakapochaguliwa kua viongoz, acha kupoteza muda hapa, sawa gentleman?🐒
nyimbo za wasindikizaji wa uchaguzi, wasusaji, watu wa maandamano na wagomeaji matokeo ya uchaguzi wa miaka nenda miaka rudi wanajulikana gentleman acha upotoshaji..Nyimbo zenu ni hizo hizo miaka yote japo eneo nilipo mimi wagombea wote wa CCM nawafahamu na nimajirani zangu pia ni watu wema kwani huwa hawana zile shida ndogo ndogo za kudai dai vijisent ila kusema kweli CCM ni waoga wakushindana. sijui ni kitu gani kinawatisha asilimia kubwa ya wagombea wa CCM wanafahamika vizuri na wananchi na wengi wapo karibu nao. Na ccm ina wanachama na mashabiki wengi lakini wanawaoogapa wapinzani Sana hasa mijini. Hii inaleta picha mbaya kwenye chaguzi zetu na inasababisha nchi kuwa na Chokochoko, hali ya uchumi mpaka sasa haijaimarika sababu ya uminyaji wa Demokrasia kwani mkiacha uchaguzi uwe huru na haki mtakosa nini? I mnazo rasilimali zote ambazo zinawawezesha kushindana na kushinda bila mizengwe tatizo mnataka mpate viti vyote hata kama ni kwa bao la mkono.

Hakuna mwizi hata sikumoja atakaye kubali kuwa yeye mwizi mpaka siku yake ifike abondwe ndiyo atakomanyimbo za wasindikizaji wa uchaguzi, wasusaji, watu wa maandamano na wagomeaji matokeo ya uchaguzi wa miaka nenda miaka rudi wanajulikana gentleman acha upotoshaji..
na wimbo huo ambao ni kuibiwa kura amabazo hawana unajulikana nchi nzima, na kwahivyo huna haja ya upotoshaji gentleman![]()
hata mlevi mathalani wa konyagi,Hakuna mwizi hata sikumoja atakaye kubali kuwa yeye mwizi mpaka siku yake ifike abondwe ndiyo atakoma