Freeman Mbowe yupo sahihi kabisa kuhoji ni akina nani wanahusika kusaini mikataba hasa ile inayotekelezwa upande mmoja wa muungano.
Haiwezekani mkataba mkubwa wenye kuhusisha lango kuu la Tanganyika ukasainiwa na watu wanaotokea upande mwingine wa muungano! Hivi mkataba huo ukiwa na hujuma na halafu muungano ukavunjika tutamwajibisha nani?
Mbowe yupo sahihi kabisa, mikataba ya upande wa Tanganyika isimamiwe na kusainiwa na watanganyika kama ilivyo kwa upande wa Zanzibar.