Hapa sasa naanza kufahamu kwanini wa zanzibar hawautaki huu muungano.Mbowe yupo sahihi kabisa, mikataba ya upande wa Tanganyika isimamiwe na kusainiwa na watanganyika kama ilivyo kwa upande wa Zanzibar.
Bandari za Tanganyika zote, baharini, kwenye maziwa na nchi kavu. Wewe huoni kuwa ni upumbavu huo?Hapa sasa naanza kufahamu kwanini wa zanzibar hawautaki huu muungano.
Sasa Nyerere alimuondoa Jumbe akiwa rais wa zanzibar na kumuweka Mwinyi wa zanzibar walipiga makelele mwisho wakanyamaza.
Leo Rais wa muungano katokea zanzibar anakodisha bandari ya Tanzania ana baguliwa namna hii?..
Halafu hao wanaotusainisha nao wako kwenye mlengo ule wa upande wao.Freeman Mbowe yupo sahihi kabisa kuhoji ni akina nani wanahusika kusaini mikataba hasa ile inayotekelezwa upande mmoja wa muungano.
Haiwezekani mkataba mkubwa wenye kuhusisha lango kuu la Tanganyika ukasainiwa na watu wanaotokea upande mwingine wa muungano! Hivi mkataba huo ukiwa na hujuma na halafu muungano ukavunjika tutamwajibisha nani?
Mbowe yupo sahihi kabisa, mikataba ya upande wa Tanganyika isimamiwe na kusainiwa na watanganyika kama ilivyo kwa upande wa Zanzibar.
Leo imerudi tanganyika si Tanzania bara tena?.Bandari za Tanganyika zote, baharini, kwenye maziwa na nchi kavu. Wewe huoni kuwa ni upumbavu huo?