mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
Ni kweli unalosema. Ni vyema kupunguza mazoea na vitoto vya watu maana pia hata kama sio ishu za utekaji, wanaweza kukuhisi vibaya unalawiti watoto wadogo. Dah sijui utawaambiaje hadi wakuelewe kwamba huna nia mbaya nao.Jitahidini sana kutokuwa na mazoea na watoto ambao hufahamu wazazi wao wana akili gani. Napenda watoto ila ni wale tu ambao nina mazoea na wazazi wao. Mtoto ambaye simjui huwa namuepuka kwa kadri inavyowezekana.