Ni kweli unalosema. Ni vyema kupunguza mazoea na vitoto vya watu maana pia hata kama sio ishu za utekaji, wanaweza kukuhisi vibaya unalawiti watoto wadogo. Dah sijui utawaambiaje hadi wakuelewe kwamba huna nia mbaya nao.Jitahidini sana kutokuwa na mazoea na watoto ambao hufahamu wazazi wao wana akili gani. Napenda watoto ila ni wale tu ambao nina mazoea na wazazi wao. Mtoto ambaye simjui huwa namuepuka kwa kadri inavyowezekana.
You mean serikali isipo acha tabia ya ku ignore serious issues na ku include politics mpaka kwenye mambo ya maana?Serikali isipokua serious kutoa elimu kwa wananchi wetu tutaendelea kuwa na raia bogus milele
Na hao raia wasio na hatia mnawafidia vipi??Wameshindwa kufanya uchunguzi kugundua watekwaji walipo sembuse wachunguze hilo?
Dhamana ya kulinda familia zetu sahivi iko mikononi mwetu.
Nawasapoti hao wananchi
Mkuu wewe ndio umeongea.Tuwe na utaratibu wa kuhoji watu. Wawekeni chini wahojini wametoka wapi kwa nanni na wametoka kufanya nini,wanakwenda wapi wana nini kwenye gari na mnakagua kama ni watu waovu mtawajua tu.
Usiende sehemu ukakuta watu wanapiga nawewe ukapiga tu tue na tabia ya kudadisi vitu kwanza. Tubadilike WATANZANIA!!!
Huenda ni watekaji kweliSometimes kujichukulia sheria mkononi ni ushamba
kupeana pipi ni socialization. ni upendo tu. tutawadaka wote waliotenda ufedhuli huu. tutaanza na wazazi wa mtoto husika kisha walipokuwa wakichaji simu. watu wanawaomba kama mna mashaka nao muwapeleke kituo cha polisi, ninyi mnaleta hasira zenu za umasikini wenu!Pole yao lakini hao jamaa wajinga sana. Unaanzaje kumpa mtoto wa mtu pipi huku humjui wala hakujui? Wacha wapigwe tu.
Mimi hapa hata lifti tu kwenye baiskeli yangu ya swala hupati kama sikujui japo nitakuhurumia tu kwa kutembea.
Kwani hapo wamejilinda ?Kama serikali, bunge na mahakama zimejitoa kuwalinda wananchi ni Bora wananchi wakili de wenyewe.
Au wewe ndie unataka kumuua.Sitakagi mazoea na mtoto nisiyemjua hata nimuone anakufa barabarani!
Hauchelewi kuambiwa mtekaji au mbakaji na mfiraji