The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Wapewe ila wazitumie hizo gari majimboni mwao tuWakuu Mbunge wa Kinondoni Abbas Tarimba amependekeza wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye misafara au kwenye shughuli zao za kila siku.
Tarimba ameyasema hayo katika mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine leo Juni 11, 2025 Bunge linatarajiwa kupitisha azimio la Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge kuhusu marekebisho ya kanuni za Bunge.
View attachment 3364254
huyo jamaa sijui anawazaga vitu gani aisee!Wakikosa la kuongea huwa wanaropoka tu
Kuna wagonjwa wengi humo
Waafrica ni nyani walichangamka changamkaBaadhi ya Waafrika ni mbuzi wanaongea
Huyu naona sasa anajitambulisha ktk wasiona maanaWakuu Mbunge wa Kinondoni Abbas Tarimba amependekeza wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye misafara au kwenye shughuli zao za kila siku.
Tarimba ameyasema hayo katika mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine leo Juni 11, 2025 Bunge linatarajiwa kupitisha azimio la Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge kuhusu marekebisho ya kanuni za Bunge.
Sawa mdudu mavi wa Ponjoro..Wapewe ila wazitumie hizo gari majimboni mwao tu
Sio nje ya jimbo lake
Namba za kiraia zifutwe gari iwe re registered kwa namba mpya akimal8za ubunge
Wakuu Mbunge wa Kinondoni Abbas Tarimba amependekeza wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye misafara au kwenye shughuli zao za kila siku.