Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,192
- 6,384
Nimemtukana ase.
Kunasifika kwa vitimbwi vyakeKinondoni bwana
😭😭 Tumbili kabisaWaafrica ni nyani walichangamka changamka
Iandikwe tu Ponjoro tutajua ni Gari la MbungePlate number maalum zitawageuza wawe watendaji waliotukuka?!
KwishneyWakuu Mbunge wa Kinondoni Abbas Tarimba amependekeza wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye misafara au kwenye shughuli zao za kila siku.
Tarimba ameyasema hayo katika mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine leo Juni 11, 2025 Bunge linatarajiwa kupitisha azimio la Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge kuhusu marekebisho ya kanuni za Bunge.
Kuna matatizo kibao ila wanajizima datahuyo jamaa sijui anawazaga vitu gani aisee!
Hasa jimbo lake la kinondoniKuna matatizo kibao ila wanajizima data
Wapewe tu! Ili tukitaka kuwashughulikia kimtaa mtaa iwe rahisi kuwatambua nyendo zao kupitia magari yao yenye special plates numbers!Wakuu Mbunge wa Kinondoni Abbas Tarimba amependekeza wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye misafara au kwenye shughuli zao za kila siku.
Tarimba ameyasema hayo katika mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine leo Juni 11, 2025 Bunge linatarajiwa kupitisha azimio la Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge kuhusu marekebisho ya kanuni za Bunge.
Nyambafu kabisaaWakuu Mbunge wa Kinondoni Abbas Tarimba amependekeza wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye misafara au kwenye shughuli zao za kila siku.
Tarimba ameyasema hayo katika mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine leo Juni 11, 2025 Bunge linatarajiwa kupitisha azimio la Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge kuhusu marekebisho ya kanuni za Bunge.
Huyo jamaa ajawahi ongea la maana Bungeni ni vile watu wameanza kumfatilia sana hivi ila niliwahi kumfatilia kipindi fulani ilikua kama comedy tu ila ndio yupo Bungeni..Wabunge wa CCM wamejaa ubinafsi TU.
Kwani wana kino ndio tumekutuma ilo?
Road mbovu hatari hazipitiki.
KAZI ni kipimo cha utu