Hahaha. Huyu kila Bungeni akisimama Bungeni huwa anaongea pumba..!Iandikwe tu Ponjoro tutajua ni Gari la Mbunge
Tunawabunge wabinafsi sana.Yani mamilion ya hela wanayolipwa kwa kazi ya kusifia seriksli na rais hayawatoshi wanataka umaarufu zaidi???Wakati nchi inatakiwa kujadili mambo ya maana kama vile kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira, reforms mpya pamoja na maendeleo mengine huyu analeta mada ya wabunge kuwa na plate namba maalum.
View attachment 3364314
Mbunge wa Kinondoni, Abasi Tarimba, amependekeza wabunge wawe na namba maalumu za magari ili kurahisisha utendaji wao wa kazi na kuwatambulisha kirahisi wanapokuwa nje ya maeneo yao ya kazi, hasa kwa kuwa hawawezi kupeperusha bendera nje ya maeneo rasmi ya kibunge.
Tarimba ametoa pendekezo hilo leo Jumatano Juni 11, 2025, wakati wa mjadala wa taarifa ya Kamati ya Kanuni za Bunge kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya Kanuni za Kudumu za Bunge iliyosomwa na Naibu Spika, Mussa Zungu.
Namshauri bwana tarimba wabunge pia wawe na MAKABURI MAALUM ili wakifa WASIOZEWakati nchi inatakiwa kujadili mambo ya maana kama vile kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira, reforms mpya pamoja na maendeleo mengine huyu analeta mada ya wabunge kuwa na plate namba maalum.
View attachment 3364314
Mbunge wa Kinondoni, Abasi Tarimba, amependekeza wabunge wawe na namba maalumu za magari ili kurahisisha utendaji wao wa kazi na kuwatambulisha kirahisi wanapokuwa nje ya maeneo yao ya kazi, hasa kwa kuwa hawawezi kupeperusha bendera nje ya maeneo rasmi ya kibunge.
Tarimba ametoa pendekezo hilo leo Jumatano Juni 11, 2025, wakati wa mjadala wa taarifa ya Kamati ya Kanuni za Bunge kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya Kanuni za Kudumu za Bunge iliyosomwa na Naibu Spika, Mussa Zungu.
Kwanza hatumtaki jimboni huyo spika kama anamtaka ampeleke jimboni kwake akawakilishe.Wakuu Mbunge wa Kinondoni Abbas Tarimba amependekeza wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye misafara au kwenye shughuli zao za kila siku.
Tarimba ameyasema hayo katika mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma, ambapo pamoja na mambo mengine leo Juni 11, 2025 Bunge linatarajiwa kupitisha azimio la Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge kuhusu marekebisho ya kanuni za Bunge.
Ndiyo maana mimi kulipa kodi mpaka tuvutane sana na maafisa,na nikipata upenyo nakwepa kweli kweli huwa sivungi hasa nikifikiria watumiaji wenyewe wa hizo kodi ni watu kama hawa.Nasikitika sana kuona mtu kama huyu analipwa kwa kodi za wananchi wanaojitafuta.