Hekima haiuzwi chifu ,wenye hela wangenunua mapema sanaUjinga ujinga tu nchi hii.
Asiporudi Bungeni Tena ataomba hazifai kuwepo!Wakati nchi inatakiwa kujadili mambo ya maana kama vile kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira, reforms mpya pamoja na maendeleo mengine huyu analeta mada ya wabunge kuwa na plate namba maalum.
View attachment 3364314
Mbunge wa Kinondoni, Abasi Tarimba, amependekeza wabunge wawe na namba maalumu za magari ili kurahisisha utendaji wao wa kazi na kuwatambulisha kirahisi wanapokuwa nje ya maeneo yao ya kazi, hasa kwa kuwa hawawezi kupeperusha bendera nje ya maeneo rasmi ya kibunge.
Tarimba ametoa pendekezo hilo leo Jumatano Juni 11, 2025, wakati wa mjadala wa taarifa ya Kamati ya Kanuni za Bunge kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya Kanuni za Kudumu za Bunge iliyosomwa na Naibu Spika, Mussa Zungu.
Nia yao imejaa ubinafsi zaidi.Amesahau kwamba akiweka plat3 number ya hivyo anajiexpose kwahyo mtu mwenye nia ovu inakua rahisi kumuattack
Ndo pekee hicho kilichompeleka bungeni 😡😡😡Wakati nchi inatakiwa kujadili mambo ya maana kama vile kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira, reforms mpya pamoja na maendeleo mengine huyu analeta mada ya wabunge kuwa na plate namba maalum.
View attachment 3364314
Mbunge wa Kinondoni, Abasi Tarimba, amependekeza wabunge wawe na namba maalumu za magari ili kurahisisha utendaji wao wa kazi na kuwatambulisha kirahisi wanapokuwa nje ya maeneo yao ya kazi, hasa kwa kuwa hawawezi kupeperusha bendera nje ya maeneo rasmi ya kibunge.
Tarimba ametoa pendekezo hilo leo Jumatano Juni 11, 2025, wakati wa mjadala wa taarifa ya Kamati ya Kanuni za Bunge kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya Kanuni za Kudumu za Bunge iliyosomwa na Naibu Spika, Mussa Zungu.
Anachojua ni hiko tu mambo ya msingi ya jimboni kwake kinondoni aaahNdo pekee hicho kilichompeleka bungeni 😡😡😡
UBINAFSI ndio tatizo kubwa linalotudumaza kama nchi.
ponjoro la kinondoniWakati nchi inatakiwa kujadili mambo ya maana kama vile kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira, reforms mpya pamoja na maendeleo mengine huyu analeta mada ya wabunge kuwa na plate namba maalum.
View attachment 3364314
Mbunge wa Kinondoni, Abasi Tarimba, amependekeza wabunge wawe na namba maalumu za magari ili kurahisisha utendaji wao wa kazi na kuwatambulisha kirahisi wanapokuwa nje ya maeneo yao ya kazi, hasa kwa kuwa hawawezi kupeperusha bendera nje ya maeneo rasmi ya kibunge.
Tarimba ametoa pendekezo hilo leo Jumatano Juni 11, 2025, wakati wa mjadala wa taarifa ya Kamati ya Kanuni za Bunge kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya Kanuni za Kudumu za Bunge iliyosomwa na Naibu Spika, Mussa Zungu.
Ovyooo kabisaa......viti vya wabunge vingewekwa kwa madaraja kama madarasa tu..kama huyu unamweka daraja C,kama latatu c vilaza kabisa
Bora iwe hivyo ili mtambulike kwa urahisi.Wakati nchi inatakiwa kujadili mambo ya maana kama vile kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira, reforms mpya pamoja na maendeleo mengine huyu analeta mada ya wabunge kuwa na plate namba maalum.