Mbunge Abbas Tarimba apendekeza wabunge wapewe 'plate number' maalumu ili magari yao yatambulike barabarani

'Plate number' inaweza kuboresha maisha ya mpiga kura, kweli?
Plate number binafsi gharama ni milioni tano kwa wabunge 350 ni biloni 7 na 500 elfu kwa Mwaka zaweza jenga barabara au hospitali Au mabweni ya watoto wa kike shule za za serikali kibao
 
Tarimna aliumbwa kwa mavi yaliyochanganywa na mikojo na udongo
 
Kwa Sasa hakuna kazi rahisi na ambayo kilaza yeyote anaweza kuifanya kama ubunge,Bunge letu limenajisiwa na kuonekana ni mhimili wa hovyo.. ponjoro wamejaa viburi vya Madaraka lakini ipo siku hawatakuwepo Tena kwenye nafasi hizo
 
Plate number binafsi gharama ni milioni tano kwa wabunge 350 ni biloni 7 na 500 elfu kwa Mwaka zaweza jenga barabara au hospitali Au mabweni ya watoto wa kike shule za za serikali kibao
Dah! Hawa watu kwa mtindo huu wanajiwakilisha wenyewe.
 
Tanzania hii tutaona mengi. Ya magabachori haya, Ya maponjoro nayo haya, ya watanganyika nayo yapo. Sasa ni mchanganyiko wa majambo. Tutafika tumechoka hoi
 
Jamaa wanajifikiria wao tu,, kwanini asifikirie barabara zikatanuliwa ili kukawa na barabara za mwendokasi za mkoa kwa mkoa ,, ili apite Hapo awahi kwenye kamari.
 
Hili ponjoro ndiyo lilishinikiza Kanisa la Gwajima lifungwe, hilo mkogorogo ni shida
 
Jamaa wanajifikiria wao tu,, kwanini asifikirie barabara zikatanuliwa ili kukawa na barabara za mwendokasi za mkoa kwa mkoa ,, ili apite Hapo awahi kwenye kamari.
Pesa yote inatumika kuhujumu kuidhoofisha chadema na zingine Amos makala aziiba
 
Watu wa kinondoni huyu Ponjoro Msimrudishe kabisa Bungeni Ovyoo kabisa Huyu Mchezesha Kamari
 
Jamaa wanajifikiria wao tu,, kwanini asifikirie barabara zikatanuliwa ili kukawa na barabara za mwendokasi za mkoa kwa mkoa ,, ili apite Hapo awahi kwenye kamari.
Pesa yote inatumika kuhujumu kuidhoofisha chadema na zingine Amos makala aziiba na kugawana na chawaccm
 
Halafu eti wanataka tuwachague tena watu wasiojua wajibu wao!
Wa Tz tuachane na wabunge wasio na tija kwa Taifa!
 
watukuja na kudai awe |anasindikizwa na trafik hapo jimboni kwake ili awatumikie vizuri wananchi wake!
Ponjoro sasa kazi yake ni moja kumhujumu Gwajima hataki kufanya kazi za jimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…