Mbunge Abdallah Mwinyi: Elimu ya Chuo Kikuu haina umuhimu kwenye Ajira

Mbunge Abdallah Mwinyi: Elimu ya Chuo Kikuu haina umuhimu kwenye Ajira

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
"Elimu mheshimiwa Mwenyekiti elimu ni mambo matatu elimu ni access, elimu ni quality, elimu ni relevance na tukianza na access wangapi wana fursa ya kwenda shule, la pili quality elimu yetu ina kiwango gani,. La tatu relevance na katika ulimwengu huu tuliokuwa nao elimu ile inatusaidia vipi?

Sasa kwa hakika access ya kuhakikisha wanafunzi wetu wanakwenda mashuleni tumefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana, swala limebakia hapa quality na kwenye relevance" - Mhe. Abdullah Ali Mwinyi, Mbunge wa Jimbo la Muhonda

“Kwenye quality ulimwengu wa sasa mheshimiwa Mwenyekiti elimu ya chuo kikuu haina umuhimu mkubwa sana kwenye ajira makampuni yote makubwa unayoyajua ulimwenguni wala hawatazami kama umekwenda chuo kikuu wewe kama una Degree, Masters, PHD alie maliza form six anaweza akapata kazi kabla yako.

Soma Pia: Sensa ya kwenye elimu ya chuo kikuu ila hawana ajira ikifanyika. Results zitabadili mtazamo wa wazazi kulipa ada mamilioni

Kwa maana hiyo kitu cha muhimu ni skills na skills tunazipata wapi? Mheshimiwa mweyekiti kwenye ulimwengu huu wa sasahivi ma universities makubwa unayoyajua wanatoa kozi kupitia internet na tena ni bure kabisa" - Mhe. Abdullah Ali Mwinyi, Mbunge wa Jimbo la Muhond

Screenshot 2024-11-04 at 17-22-25 Instagram.png
 
"Elimu mheshimiwa Mwenyekiti elimu ni mambo matatu elimu ni access, elimu ni quality, elimu ni relevance na tukianza na access wangapi wana fursa ya kwenda shule, la pili quality elimu yetu ina kiwango gani,. La tatu relevance na katika ulimwengu huu tuliokuwa nao elimu ile inatusaidia vipi? Sasa kwa hakika access ya kuhakikisha wanafunzi wetu wanakwenda mashuleni tumefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana, swala limebakia hapa quality na kwenye relevance" - Mhe. Abdullah Ali Mwinyi, Mbunge wa Jimbo la Muhonda

“Kwenye quality ulimwengu wa sasa mheshimiwa Mwenyekiti elimu ya chuo kikuu haina umuhimu mkubwa sana kwenye ajira makampuni yote makubwa unayoyajua ulimwenguni wala hawatazami kama umekwenda chuo kikuu wewe kama una Degree, Masters, PHD alie maliza form six anaweza akapata kazi kabla yako. Kwa maana hiyo kitu cha muhimu ni skills na skills tunazipata wapi? Mheshimiwa mweyekiti kwenye ulimwengu huu wa sasahivi ma universities makubwa unayoyajua wanatoa kozi kupitia internet na tena ni bure kabisa" - Mhe. Abdullah Ali Mwinyi, Mbunge wa Jimbo la Muhond

Ana hoja kabisa,niliwahi fanya kazi na jamaa wa chuo kikuu kampuni flani, mpaka nilikuwa namhurumia sana Ilikuwa issue ya kufunga hesabu za mauzo, duuh!Jamaa ni upper second Matokeo chuoni Tena UDSM.Mpaka anitafute nimsaidie kufunga!
 
Naona machizi wanadhidi kuwa wengi.

Issue sio umuhimu wa elimu ya degree bali issue ni ubora wa elimu ya degree inayotolewa.

Hivi anafikiri calculation za kudesign magari, mameli, mandege, madrill rigs, makombora, masubmarines, majet fighters, power plants, electric train, nk huwa vinafanywa na lasaba b?
 
Mkuu Tanzakiza Kuna wapumbavu wengi sana,mmoja wapo huyo MB,sijui huo upumbavu ameutoa wapi mfano Google itoe ajira kwa kilaza ?

Hawa ndo wale Mwalimu Nyerere aliwahi sema hata humuelimishe mpumbavu hawezi acha upumbavu wake.
 
Huo ujinga, walikua wanalishana Europe 20 - 30 years back, kwa kua enspired na Elon, Jeff bezos, Na mwanzilishi wa facebook.

Lakini matokeo yake, hao wapumbavu ndo walikua wanaandamana mwezi ulio pita, wakidai immigrants wanachukua kazi zao(huku wakati wao hawajaenda college, wamekalia kua youtubers)

Watu waende shule wapate maarifa, Kila kitu kinaanzia ukiwa na maarifa.
 
"Elimu mheshimiwa Mwenyekiti elimu ni mambo matatu elimu ni access, elimu ni quality, elimu ni relevance na tukianza na access wangapi wana fursa ya kwenda shule, la pili quality elimu yetu ina kiwango gani,. La tatu relevance na katika ulimwengu huu tuliokuwa nao elimu ile inatusaidia vipi?

Sasa kwa hakika access ya kuhakikisha wanafunzi wetu wanakwenda mashuleni tumefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana, swala limebakia hapa quality na kwenye relevance" - Mhe. Abdullah Ali Mwinyi, Mbunge wa Jimbo la Muhonda

“Kwenye quality ulimwengu wa sasa mheshimiwa Mwenyekiti elimu ya chuo kikuu haina umuhimu mkubwa sana kwenye ajira makampuni yote makubwa unayoyajua ulimwenguni wala hawatazami kama umekwenda chuo kikuu wewe kama una Degree, Masters, PHD alie maliza form six anaweza akapata kazi kabla yako.

Soma Pia: Sensa ya kwenye elimu ya chuo kikuu ila hawana ajira ikifanyika. Results zitabadili mtazamo wa wazazi kulipa ada mamilioni

Kwa maana hiyo kitu cha muhimu ni skills na skills tunazipata wapi? Mheshimiwa mweyekiti kwenye ulimwengu huu wa sasahivi ma universities makubwa unayoyajua wanatoa kozi kupitia internet na tena ni bure kabisa" - Mhe. Abdullah Ali Mwinyi, Mbunge wa Jimbo la Muhond

Mnhh!! Nafikiri angesema vyuo vya kati..ila form six unasomea profession gani!?
 
huyo ndo CEO wa Google wa sasa hivi, angalia elimu yake, chuo alicho soma halafu endelea kusema elimu haina umuhumu.

Watu hawafanyi research vzuri, wanaropoka ropoka tu shwain
 
Attachments

  • Screenshot_20241104-192352.png
    Screenshot_20241104-192352.png
    450.4 KB · Views: 7
Sasa jitu limekaa darasani lina mwalimu + Discussion na wenzake halielewi ndo likasome lenyewe online 😀

Acheni masihara jamani.
 
Kuna ukweli..hatusemi elimu haina maana, ila ukweli elimu yetu inakosa hivyo vitu viwili alivyokazia...QUALITY ya kuwawezesha wahitimu kufanya vema kwenye ajira( kujiajili au kuajiliwa) lakini pia RELEVANCE kiukweli wengi tunasoma halafu contents tunazotoka nazo vs uhalisia ktk kutatua matatizo yetu na jamii vinapishana pishana mara yes mara no.
 
Naona machizi wanadhidi kuwa wengi.

Issue sio umuhimu wa elimu ya degree bali issue ni ubora wa elimu ya degree inayotolewa.

Hivi anafikiri calculation za kudesign magari, mameli, mandege, madrill rigs, makombora, masubmarines, majet fighters, power plants, electric train, nk huwa vinafanywa na lasaba b?
Professor nani mtanzania ameunda hayo?
 
Back
Top Bottom