Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
"Elimu mheshimiwa Mwenyekiti elimu ni mambo matatu elimu ni access, elimu ni quality, elimu ni relevance na tukianza na access wangapi wana fursa ya kwenda shule, la pili quality elimu yetu ina kiwango gani,. La tatu relevance na katika ulimwengu huu tuliokuwa nao elimu ile inatusaidia vipi?
Sasa kwa hakika access ya kuhakikisha wanafunzi wetu wanakwenda mashuleni tumefanikiwa kwa kiwango kikubwa sana, swala limebakia hapa quality na kwenye relevance" - Mhe. Abdullah Ali Mwinyi, Mbunge wa Jimbo la Muhonda
“Kwenye quality ulimwengu wa sasa mheshimiwa Mwenyekiti elimu ya chuo kikuu haina umuhimu mkubwa sana kwenye ajira makampuni yote makubwa unayoyajua ulimwenguni wala hawatazami kama umekwenda chuo kikuu wewe kama una Degree, Masters, PHD alie maliza form six anaweza akapata kazi kabla yako.
Soma Pia: Sensa ya kwenye elimu ya chuo kikuu ila hawana ajira ikifanyika. Results zitabadili mtazamo wa wazazi kulipa ada mamilioni
Kwa maana hiyo kitu cha muhimu ni skills na skills tunazipata wapi? Mheshimiwa mweyekiti kwenye ulimwengu huu wa sasahivi ma universities makubwa unayoyajua wanatoa kozi kupitia internet na tena ni bure kabisa" - Mhe. Abdullah Ali Mwinyi, Mbunge wa Jimbo la Muhond