Pre GE2025 Mbunge Abood ashiriki kuchimba barabara na Wananchi kwa majembe ya mkono

Pre GE2025 Mbunge Abood ashiriki kuchimba barabara na Wananchi kwa majembe ya mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Uchaguzi July, mwarabu ni mla rushwa haswa na bahati nzuri jimbo lake limejaa wajinga haswa, kashindwa nini kununua vifaa vya ujenzi kama grader n.k ambazo ni sawa na mabasi yake 3 kama kweli anawependa sn wananchi wa Gairo? kwa ulimwengu huu wa AI unatengeneza barabara kwa mikono?
 
Waluguru huwaambii kitu kwa Aboud wao, wanampenda balaa,
Ila huyu mzee yupo peace sana, ni miongoni mwa wabunge ambao yupo karibu sana na wananchi wake, kumkuta road anatembea huku kavaa zake kanzu na kobazi sio ajabu tena anaenda kununua mishikaki ya mia mia
itakuwa ndiyo kinachomfanya apendwe
 
Nasikia ukipata msiba anakupa Bus kusafirisha ndugu.
 
Mbunge plus milionea anashiriki kuchimba barabara kwa jembe la mkono huku magreda yapo, hapo ni Kaole Sanaa Group.
Anaonyesha wananchi kuwa yeye aweza maisha aina zote na aweza saidiana na wananchi wa aina zote na kazi zote
 
Back
Top Bottom