Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Heeerr Abood na Gairo?? Vipi Shabiby itakuwa Moro ?? Au basi tusubiri waje na mgawanyo majimbo.....Uchaguzi July, mwarabu ni mla rushwa haswa na bahati nzuri jimbo lake limejaa wajinga haswa, kashindwa nini kununua vifaa vya ujenzi kama grader n.k ambazo ni sawa na mabasi yake 3 kama kweli anawependa sn wananchi wa Gairo? kwa ulimwengu huu wa AI unatengeneza barabara kwa mikono?