Ni kweli kwa jimbo lake hutoa basiNasikia ukipata msiba anakupa Bus kusafirisha ndugu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kwa jimbo lake hutoa basiNasikia ukipata msiba anakupa Bus kusafirisha ndugu.
SIMPONGEZI. Alishindwa kuleta mashine zifanye hiyo kazi kwa muda mfupi ili wananchi wafanye shughuli zingine za maendeleo? Halmashauri haina fungu la kurekebisha hiyo barabara?Wakuu
Hivi huwa wanakuwa wapi kipindi kabla ya uchaguzi?, kura zinatafutwa nyie!!
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Dkt. Abdulaziz Abood akihiriki kurekebisha barabara pamoja na wananchi wa Kata ya Bigwa mtaa wa Mwanzomgumu.
Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sanaa za uchaguzi unapokaribia.Sanaa hizo
Ujinga mtupu. Kwa nini asubiri misiba? Apiganie maisha ya wananchi yawe bora ili waweze kusafirisha wenyewe.Nasikia ukipata msiba anakupa Bus kusafirisha ndugu.
So what?! Kutembea na kobazi ndo ilkua agenda zake kipnd anaomba ubunge?!Waluguru huwaambii kitu kwa Aboud wao, wanampenda balaa,
Ila huyu mzee yupo peace sana, ni miongoni mwa wabunge ambao yupo karibu sana na wananchi wake, kumkuta road anatembea huku kavaa zake kanzu na kobazi sio ajabu tena anaenda kununua mishikaki ya mia mia
Ndivyo inavyotakiwa, si kama wabunge wa mjini, wamejigeuza wafalme, huwakaribii kirahisiWaluguru huwaambii kitu kwa Aboud wao, wanampenda balaa,
Ila huyu mzee yupo peace sana, ni miongoni mwa wabunge ambao yupo karibu sana na wananchi wake, kumkuta road anatembea huku kavaa zake kanzu na kobazi sio ajabu tena anaenda kununua mishikaki ya mia mia
Waluguru ni kikwazo kikubwa sana cha maendeleo ya mji wa Morogoro huwa hawakumbuki wanavyodharauliwa na hao wanasiasa wakitoka tu hapo wanapewa vipande vya nyama, mafuta ya kula, mchele na sembe hakumbuki tena madhila yoyote. Ukitokea msiba wanapewa usafiri na sanda kwishineeyWakuu
Hivi huwa wanakuwa wapi kipindi kabla ya uchaguzi?, kura zinatafutwa nyie!!
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Dkt. Abdulaziz Abood akihiriki kurekebisha barabara pamoja na wananchi wa Kata ya Bigwa mtaa wa Mwanzomgumu.
Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Uchaguzi unapo karibia Kila mtu lazima ajioneshe kuwa karibu na wananchiWakuu
Hivi huwa wanakuwa wapi kipindi kabla ya uchaguzi?, kura zinatafutwa nyie!!
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Dkt. Abdulaziz Abood akihiriki kurekebisha barabara pamoja na wananchi wa Kata ya Bigwa mtaa wa Mwanzomgumu.
Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi kwa mtu mwenye akili timamu zama hizi ni za kuchiimba barabara kwa jembe la mkono tena makao makuu ya mkoa! Hayo ni matusi makubwaWakuu
Hivi huwa wanakuwa wapi kipindi kabla ya uchaguzi?, kura zinatafutwa nyie!!
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Dkt. Abdulaziz Abood akihiriki kurekebisha barabara pamoja na wananchi wa Kata ya Bigwa mtaa wa Mwanzomgumu.
Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Nawe unaamini!! Mleta hoja naye kama vile anamsaidia kum-promote, kama vile anashangaa Tajiri kuingia peponi!! Badala ya kulipia greda kuwasaidia, tena kw brbr zote, anatoka akiambatana na fotografa wake kuja ktk kampeni ...loh!Anaonyesha wananchi kuwa yeye aweza maisha aina zote na aweza saidiana na wananchi wa aina zote na kazi zote
[emoji23][emoji23][emoji23]Nawe unaamini!! Mleta hoja naye kama vile anamsaidia kum-promote, kama vile anashangaa Tajiri kuingia peponi!! Badala ya kulipia greda kuwasaidia, tena kw brbr zote, anatoka akiambatana na fotografa wake kuja ktk kampeni ...loh!
Moro wao wanaridhika mambo madogo mno.Uchaguzi July, mwarabu ni mla rushwa haswa na bahati nzuri jimbo lake limejaa wajinga haswa, kashindwa nini kununua vifaa vya ujenzi kama grader n.k ambazo ni sawa na mabasi yake 3 kama kweli anawependa sn wananchi wa Gairo? kwa ulimwengu huu wa AI unatengeneza barabara kwa mikono?