Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
😀 hii ni sanaa ya maigizo au sio mkuuSanaa hizo
Alikuwa anatafuta kupigwa picha tu hana loloteWakuu
Hivi huwa wanakuwa wapi kipindi kabla ya uchaguzi?, kura zinatafutwa nyie!!
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Dkt. Abdulaziz Abood akihiriki kurekebisha barabara pamoja na wananchi wa Kata ya Bigwa mtaa wa Mwanzomgumu.
Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
itakuwa ndiyo kinachomfanya apendweWaluguru huwaambii kitu kwa Aboud wao, wanampenda balaa,
Ila huyu mzee yupo peace sana, ni miongoni mwa wabunge ambao yupo karibu sana na wananchi wake, kumkuta road anatembea huku kavaa zake kanzu na kobazi sio ajabu tena anaenda kununua mishikaki ya mia mia
Safi sana. Wananchi Lazima wajiletee maendeleo kwanza kabla ya Serikali!Wakuu
Hivi huwa wanakuwa wapi kipindi kabla ya uchaguzi?, kura zinatafutwa nyie!!
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Dkt. Abdulaziz Abood akihiriki kurekebisha barabara pamoja na wananchi wa Kata ya Bigwa mtaa wa Mwanzomgumu.
Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mbunge simamia Serikali sio huu usanii, tuamkeni kifikra sio haya maigizo.Wakuu
Hivi huwa wanakuwa wapi kipindi kabla ya uchaguzi?, kura zinatafutwa nyie!!
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Dkt. Abdulaziz Abood akihiriki kurekebisha barabara pamoja na wananchi wa Kata ya Bigwa mtaa wa Mwanzomgumu.
Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Anaonyesha wananchi kuwa yeye aweza maisha aina zote na aweza saidiana na wananchi wa aina zote na kazi zoteMbunge plus milionea anashiriki kuchimba barabara kwa jembe la mkono huku magreda yapo, hapo ni Kaole Sanaa Group.