PreGE2025 Mbunge Aeshi Hilaly awaomba wananchi kumpa baraka za kuendelea kuwapatia Maendeleo, Sumbawanga Mjini

PreGE2025 Mbunge Aeshi Hilaly awaomba wananchi kumpa baraka za kuendelea kuwapatia Maendeleo, Sumbawanga Mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly amewaomba Wananchi wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kumpa Baraka za kuendelea kuwapatia maendeleo Wana-Sumbawanga kama alivyofanya katika awamu zote ili kuiinua Sumbawanga kimaendeleo zaidi.

Aeshi amezungumza hayo katika Mkutano na Wananchi wa Kata ya Mazwi akitaja baadhi ya miradi iliyotekelezwa chini ya Uongozi wake kwa usaidizi wa Serikali Kuu, ukiwa ni Mkutano wake wa mwisho kuufanya katika Kata huyo kama Mbunge kwani hivi karibuni Bunge linaelekea kuvunjwa na kufanyika maandalizi ya uchaguzi Mkuu.

Chanzo:Vosfmtz​
 
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aeshi Hilaly amewaomba Wananchi wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kumpa Baraka za kuendelea kuwapatia maendeleo Wana-Sumbawanga kama alivyofanya katika awamu zote ili kuiinua Sumbawanga kimaendeleo zaidi.

Aeshi amezungumza hayo katika Mkutano na Wananchi wa Kata ya Mazwi akitaja baadhi ya miradi iliyotekelezwa chini ya Uongozi wake kwa usaidizi wa Serikali Kuu, ukiwa ni Mkutano wake wa mwisho kuufanya katika Kata huyo kama Mbunge kwani hivi karibuni Bunge linaelekea kuvunjwa na kufanyika maandalizi ya uchaguzi Mkuu







​
 
Moja kati ya sehemu ambazo ukienda unaweza kujiuliza watu pale wanawezaje kuishi na kukabiliana na hali ya pale ya maisha!?Tz tuko hoi sana😀
 
Huyu Aeshi alikuwa na ugomvi mkubwa sana na Mbowe kisa Joyce Mukya.
Kwa mwanaume rijali hi sio story, sio kashfa. Ni jambo la kawaida; babu Seya pia alifungwa maisha kwasababu hizo hizo; unless wewe ni mwanamke au mwanaume uliyeamua kuwacheka wengine wakati na wewe upo hivo hivo tu. Na hu kwa Kiswahili sahihi ndio tunaita UNAFIKI
 
Back
Top Bottom