Kuna ugumu gani kule?Moja kati ya sehemu ambazo ukienda unaweza kujiuliza watu pale wanawezaje kuishi na kukabiliana na hali ya pale ya maisha!?Tz tuko hoi sana😀
Kwa mwanaume rijali hi sio story, sio kashfa. Ni jambo la kawaida; babu Seya pia alifungwa maisha kwasababu hizo hizo; unless wewe ni mwanamke au mwanaume uliyeamua kuwacheka wengine wakati na wewe upo hivo hivo tu. Na hu kwa Kiswahili sahihi ndio tunaita UNAFIKIHuyu Aeshi alikuwa na ugomvi mkubwa sana na Mbowe kisa Joyce Mukya.
Nae Mbowe ni wa Sumbawanga?!!Huyu Aeshi alikuwa na ugomvi mkubwa sana na Mbowe kisa Joyce Mukya.