Mbunge ailalamikia barabara ya Iringa - Dodoma kuwa na mashimo mengi

Mbunge ailalamikia barabara ya Iringa - Dodoma kuwa na mashimo mengi

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Mbunge wa viti maalumu wa Chadema ameihoji serikali kuhusu mpango wa kuijenga kwa upya barabara ya Iringa - Dodoma ambayo imekuwa na mashimo hali inayoondoa hadhi ya barabara hiyo kuunganisha mikoa miwili

Kwa mujibu wa Naibu waziri wa ujenzi na uchukuzi Mha. Godfrey Kasekenya amesema serikali inampango wa kuboresha barabara zote zilizokwisha muda wake na si Iringa- Dodoma tu . Na ikumbukwe Mashimo haya yapo katika barabara inayotumiwa na Baadhi ya viongozi wa nchi wanaopita Iringa kwenda Dodoma, wananchi kuelekea mikoa mbalimbali huku mashimo yakiwa sababu ya kutoka kwa ajali mbalimbali.

Pia soma

 
Back
Top Bottom