Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu mleta mada ndio alinifanya mimi nikubali kuwa uchawi upo japo siuamini.Pumbavu Bilionea unawajua wewe?
Ila Mbowe sijui alikupa chai gan
Hahaha Chama Chao Kila mtu anajiendea tu mkuuHuyu mleta mada ndio alinifanya mimi nikubali kuwa uchawi upo japo siuamini...
🤣🤣Hahaha
👆 😀😂Nakumbuka Mbowe alipata sifuri Form 6 akatumbukia kuwa mnenguaji kwenye club ya Baba yake pale Posta
Masikini hawaamini katika utajiri , nadhani sababu ni kupambazwa akili kwa zaidi ya miaka 60Pumbavu Bilionea unawajua wewe?
Ila Mbowe sijui alikupa chai gan
Uzi wa Sugu lakini anatajwa Mbowe, mkiambiwa nyie ni ndondocha mnabisha!Hahaha Chama Chao Kila mtu anajiendea tu mkuu
Mwambie aangalie asiolewe maana hiyo ndumba ya mwenyekiti sio ya mchezo
Nakumbuka Mbowe alipata sifuri Form 6 akatumbukia kuwa mnenguaji kwenye club ya Baba yake pale Posta
yaani form 4 failure anayemiliki mgongo wa Tembo apambane na Rais wa Mabunge Duniani kuwa serious basi acha ukichaa wako mwezi haujaandama badoUzi wa Sugu lakini anatajwa Mbowe , mkiambiwa nyie ni ndondocha mnabisha !
sugu huyuhuyu mhuni aliyekuwa anachezesha watoto wa watu uchi aliyekimbiwa na mke wake juzi juzi labda billionea wa mvi hafu usimfananishe Rais wa IPU na wahuni wahuni kuwa na adabu kabisaMasikini hawaamini katika utajiri , nadhani sababu ni kupambazwa akili kwa zaidi ya miaka 60
Mbumbumbu ulali ni kusifu tu watuUzi wa Sugu lakini anatajwa Mbowe , mkiambiwa nyie ni ndondocha mnabisha !
Asante kwa taarifa.View attachment 2822083
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara , Mwekezaji wa Kimataifa , Bilionea Joseph Mbilinyi , asubuhi ya 23/11 /23 , atakuwepo kwenye Clouds TV kwa mahojiano Maalum .
Usibadili Channel kwa Mawe Matakatifu .
Je wajua hotel anayomiliki Sugu? Kuna watu wana watoto ambao ni hasara aiseeyaani form 4 failure anayemiliki mgongo wa Tembo apambane na Rais wa Mabunge Duniani kuwa serious basi acha ukichaa wako mwezi haujaandama bado
Wewe mbona una chuki sana na Mbowe au ndiye alikutoa usichana wako kisha akakupiga kibuti,maana hata uzi haumhusu yeye lazima umtaje.Pumbavu Bilionea unawajua wewe?
Ila Mbowe sijui alikupa chai gan
Hii ndio hali halisi katika chama cha ukoo wa kambale 👇
John Sigwemisi Malecela aliyekuwa Waziri Mkuu aliangushwa kwa kishindo na LusindeSugu hawezi kushindana na msomi na mwanasheria nguli. Mbeya mjini siyo jimbo la wahuni .sugu apeleke uhuni wake huko na ubabaishaji wake huko.amekaa miaka kumi bungeni lakini ukimuuliza ni kipi anajivunia na alama aliyoiacha pale Mbeya huwezi ukaonyweshwa hata kwa tochi.
Sugu hana chake tena Mbeya mjini.hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kumpigia kura. labda vichaa na wendawazimu ndio wanaweza kumpigia kura lakini kwa bahati mbaya ni kuwa hakuna anayeweza ruhusu vichaa wapige kura. kwa hiyo sugu akae kwa kutulia tu maana hatapata tena ubunge mbele ya Dr Tulia Rais wa IPU anayeangaliwa na kutizamwa na Dunia nzima
Hilo la Lissu na ubinafsi hebu tuliweke pembeni, ni mawazo yako binafsi pia.Hii ndio hali halisi katika chama cha ukoo wa kambale [emoji116]
M/mwenyekiti: Hatuingii katika uchaguzi bila tumehuru na katiba mpya.
Mwenyekiti: Tutaingia katika uchaguzi hata kwa tume hii na katiba hii hii.
Ukiangalia kwa makini hayo maelezo yao hapo juu, utagundua kuwa kila mtu ana malengo yake.
Kwa upande wa Lisu (yeye ni mbinafsi) , anaamini kuwa yeye atakuwa mgombea uraisi wa Chadema. Hivyo akiingia kugombea uraisi kupitia tume na katiba hii, kuna uwezekano mkubwa wa yeye kuangukia pua, hivyo kujikuta anakosa uraisi na pia hatoweza kuwa mbunge kama wenzake kina Mbowe, Lema nk, ambao watakuwa wanapokea maburungutu ya mishahara ya ubunge huku yeye aking'aa ng'aa sharubu tu mitaani. Hivyo anaona ni afadhali amshawishi mwenyekiti wasiingize chama kwenye uchaguzi mkuu, ili kama kukosa wakose wote kuanzia ubunge na uraisi.
Kwa upande wa mwenyekiti yeye anaamini katika uhai wa chama. Anaona kama ataendelea kususia chaguzi zingine zinazokuja kwa kigezo cha kutaka tumehuru na katiba mpya, basi kuna uwezekano wa chama hicho kupoteza wanachama wengi ambao hawatokubali kuona chama hicho kinaendelea kukaa tena miaka mitano bila wabunge bungeni.
Kumbuka Chadema ni chama kikubwa, hivyo kinahitaji hela kujiendeleza (na sio kutegemea michango ya wanachama ambao 75% ni masikini kila siku mikutanoni), hivyo ni lazima kiingie katika uchaguzi hata kama hawatoshinda uraisi lkn kishinde wabunge kadhaa ambao watasaidia kuki busti chama kupitia ruzuku na ile michango waliokuwa wanakatwa wabunge kila mwezi na chama.
Kwa sasa hivi swala la tumehuru na katiba mpya, kamwe haliwezekani hata iwe kwa maandamano au kwa kususia uchaguzi. Hivyo mwenyekiti anaona ni bora chama kiingie hivyo hivyo ili kukinusuru na hasa ukizingatia makamu wake ni mtu wa mguu nje mguu ndani. Anajifanya anapambania chama, alaf akiona mambo yanakwenda mrama anakimbilia zake ulaya na kumuacha mwenyekiti apambane kivyake kukirudisha chama kwenye mstari.
Kwa kukung"ata sikio , Chadema Digital imeandikisha wanachama mil 15 waliolipia kadi zao kwa vitita vizito sana .Hilo la Lissu na ubinafsi hebu tuliweke pembeni, ni mawazo yako binafsi pia.
Hili la Chadema ni chama kikubwa, kinahitaji pesa kujiendesha hivyo lazima kishiriki uchaguzi, kwasababu hapo watapata ruzuku na michango ya wabunge kwaajili ya shughuli za chama, naona hapo ndio umeandika pointi.
Lakini, hiyo pointi yako nakuja kuipinga kwasababu walishatuambia wana kitu kinaitwa Chadema digital, kwamba walikuwa na mpango wa kuwaandikisha wanachama milioni moja au zaidi nchi nzima, kisha hawa wanachama watapolipia kadi zao, basi chama kitapata pesa za kujiendesha, huu mpango wao sijui uliishia wapi.
Hapo utaona kwamba, Chadema na mapato sio lazima kushiriki uchaguzi, wana njia nyingine tofauti, kwangu mimi nionavyo zaidi, kushiriki uchaguzi kunakuwa na manufaa ya kiuchumi kwa mbunge binafsi, zaidi ya chama chao, au hata majimbo wanayo bahatika kushinda.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app