H hamenya l Member Joined Jun 2, 2025 Posts 6 Reaction score 10 Jun 2, 2025 #1 Habari, ikitokea mbunge amejivua wadhifa wake kabla muhula wake kuisha na kabla bunge halijavunjwa, Je mbunge huyo atanufaika na kinua mgongo cha ubunge au malupulupu yoyote wanayopata wabunge wengine wanapomaliza muhula wa miaka 5 ya utumishi?
Habari, ikitokea mbunge amejivua wadhifa wake kabla muhula wake kuisha na kabla bunge halijavunjwa, Je mbunge huyo atanufaika na kinua mgongo cha ubunge au malupulupu yoyote wanayopata wabunge wengine wanapomaliza muhula wa miaka 5 ya utumishi?