Mbunge aliyedai waongezewe mshahara atakiwa aachie jimbo, CCM nao watoa kauli

Kuna vitu vya kubembeleza ila sio huo upuuz
 
Mkuu wake kamuwashia moto[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Majukumu yao? Wana majukumu gani? The gov is CCM and they can’t question anything. Any minister can take any policy to parliament s
And they will pass it without any questions. They don’t know why they are there.big pay!! Maprofesa wameacha vyeo kukimbilia bungeni, jiulize why? To be paid very well and do nothing as in nothing.
 
Kwa hiyo unamteta nini?. Mwalimu baadaya ya makato ,hata hiyo posho yake ya siku ya 300,000 haifiki. Na kuna tatizo kubwa la vijana ajira.na umasikini mkubwa kwa watz waliowengi.Yeye anataka aongezewe posho za starehe.Na kwa kazi ngani ya maana wabunge wanayoifanya.Wanaongea maneno yale yale kila Bunge.Wanaongea kana kwamba nchi ndiyo imepata uhuru mwaka jana.

Matatizo ya kilimo yanafahamika,matatizo yakila sector yanafahamika.kikubwa ni utekelezaji tu.
 
Kuna interview moja nimeiona ametolea ufafanuzi juu ya yeye kudai nyongeza ya mshahara.
 
Uchaguzi ungekuwa ni gharama nafuu ingepaswa urudiwe Ili tupate wawakilishi halali wa wananchi na sio hao waliowekwa na mwendazake kumsaidia kubadili katiba atawale milele
 
Kuna viumbe hapa duniani havina huruma aise.. ..kuna watu wanaishi na mlo mmoja per day!! Wewe unataka mshahara uongezwe! Huyu hastahili kuwa kiongozi, ataifilisi serikali
 
Acha wararuane wenyewe kwa wenyewe...!
 
Huyu kakosea alipooona taaluma za watu hazina thamani yaani walimu hawana maana madaktari hawana maana ila yeye mbunge anamaana sana? Posho na mishahara yao haikatwi kodi yeyote na bado akimaliza anapewa pension ambayo hakuchangia hata cent
 
Mbunge anawashauli wenzake asituogope sisi wananchi kwa kudai nyongeza ya mshahara. Ndio tuliyomtuma akatuwakilishe huko mbungeni? Muda utaongea
 

Mkuu naomba ujikumbushe kauli za mr Chongolo akiwa DC kinondoni akimpa makavu aliyekuwa boss wake makonda, chongolo hacheleweshaji ujinga kama unavyotaka iwe kama mlivyozoea kwa mwendazake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…