Mbunge aliyedai waongezewe mshahara atakiwa aachie jimbo, CCM nao watoa kauli

Ubunge wenyewe aliupatapataje? Tuanzie hapo kwanza, ..... hajali wananchi wake kwasababu sio waliomchagua, chama chake ndicho kilichomweka hapo na ndicho chenye ubavu wa kumwondoa, si wananchi
 
Huyo mbunge ni nani mbele ya katibu mkuu wake?
 
WERA WERA Daniel G. Chongolo kwa mwongozo, wewe ndio boss, hope wamekuelewa yaani. Zitto simpongezi though kaongea ukweli, nina sababu zangu
 
Alidhani pesa ni za kuokota akishaukwaa ubunge hata kazi yake ya kuozesha vifusi si lelema.
Mshahara mkubwa sana huo ila ukilinganisha na shughuli zake za madini ni haki yake kulia aongezewe
watu wa madini wana dherewi sana.
 
Ndo maana nchi za wenzetu,wana neno hili(Utalifanyia ni taifa lako).Sisi huku,nitakula nini tumbo langu kwa kupitia taifa langu🐓🐓🐓🐠🐠🐡🐡🌳🌲🌾🌾!!!
 
Wakat mungine wajinga kama wale majibu yao yanapaswa yawe hivi hivi !! Yeye analia na mshahara mdogo ,kwani wakat anagombea ajaliona hili !? Lofa sana kama kazi aina maslahi acha na katafute kazi nyengine ,jibu zuri sana lile

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Ndo maana nchi za wenzetu,wana neno hili(Utalifanyia ni taifa lako).Sisi huku,nitakula nini tumbo langu kwa kupitia taifa langu[emoji239][emoji239][emoji239][emoji225][emoji225][emoji245][emoji245][emoji269][emoji268][emoji264][emoji264]!!!
Ndio wawakilishi.wetu hawa
 
Zipo pesa za jimbo zinazo shughulikia ,jimbo yeye anataja masuala ya kuangalia wagonjwa kuwapa watu pesa wa jimbon kwake !! Kwan hiyo ni kazi ya mbunge !? Kama anataka aanze kugawa hela afungue foundation yake !! Na utawagawia wangap!? Huyu ni mlafi tu

Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
 
Wale waliogonga meza na kumshangilia wameambiwaje?
 
Aachie ngazi wapo waliotayari kuhudumu bure
 
Watakuwa wamedukua mitambo yetu na kusikia kwamba tarehe 1 Julai tunaandamana nchi nzima ili kuwafurusha woooooooote Mjengoni pamoja na timu yote huko juu ya Bi Mkubwa wao.
Acha kuropoka ongea vitu vya msingi,busara na hekina vinavyowezekana,mbuzi wewe!!
 
Huyo Mbunge ataomba msamaha hata kabla jogoo halijawika
 
Safiii sanaaa Katibu Mkuu CCM Mh. Daniel Chongolo
 
Hekima alitakiwa awe nayo huyo mbunge uchwara, au ndiyo wewe huyo mbunge umeamua kujifaragua?
Chongolo is 100% right, calling spade a spade.
Kuulea ushenzi na uzandiki wa wabunge wakati hata ubunge wenyewe wameupata kisanii ni upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…