pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hiyo medically advanced country ndo gani hiyo? Tz? Hahaha very funny. π Mbona Isack Rutto hakuja kutibiwa Tz? Ila hapa tunaongea kuhusu T.J Kajwang, mbunge wa Ruaraka, Nairobi, Kenya. Sasa hivi alipo vilainishi vinamhusu. π Utafanya nini kuhusu hilo?Eti anatoroka medically advanced country, anakwenda nchi ambayo ilishindwa hata kunyoosha pua la Issac Rutto[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Tanzania leo tumewafanyia watoto watano cochlear implant surgery katika Hospital za serikali, itawachukua kati ya miaka kumi hadi ishirini kwa surgery kama hii kufanyika hapo Kenyatta Hospital[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo medically advanced country ndo gani hiyo? Tz? Hahaha very funny. π Mbona Isack Rutto hakuja kutibiwa Tz? Ila hapa tunaongea kuhusu T.J Kajwang, mbunge wa Ruaraka, Nairobi, Kenya. Sasa hivi alipo vilainishi vinamhusu. π Utafanya nini kuhusu hilo?
Dah sawa sawa jombaa, ukirudi kwenye mada ya uzi huu nitag.Tanzania leo tumewafanyia watoto watano cochlear implant surgery katika Hospital za serikali, itawachukua kati ya miaka kumi hadi ishirini kwa surgery kama hii kufanyika hapo Kenyatta Hospital[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa umemanisha ugali na supu/maji ya moto yenye kabeji.πHamna namna, apelekwe tu huko Canaan, ya sima kwa kabeji zenye supu.
Ni kweli kwenye anga hizo bado hatujawafikia wakenyaAliuawa aboud rogo hadharan mchana kweupe
Mi huwa nashangaa tunavyolinganisha Kenya na Tz kwny umafia
Ilikuwa kwasababu za kiusalama zaidi. Uamuzi sahihi.Eti anatoroka medically advanced country, anakwenda nchi ambayo ilishindwa hata kunyoosha pua la Issac Rutto[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hiyo inakuwaga ndo menu ya siku ya pili. Siunajua siku ya kwanza ni ya kukaribisha mgeni. Siku ya tatu inabadilika, supu yenye harufu tu ya kabeji, afu unga/uji/mfano wa sima unaelea juu yake kama kimba. Siku ya nne, ndugu yangu, acha tu! π Inakuwaga ni siku ya zile nyimbo, Paulo na Silaaaa waliombaah! X15. ππHapa umemanisha ugali na supu/maji ya moto yenye kabeji.π
wale waliomkata vidole Msando kufungulia eletron machines za ballot walijulikana, ututajie?Huku Kenya huwa wanajulikana.
Ndio, Sheitwan na Pepo mbaya.wale waliomkata vidole Msando kufungulia eletron machines za ballot walijulikana, ututajie?
Shkamoo Pesa walahiKama ni pesa basi nipoo! π
Wengi tu!wale waliomkata vidole Msando kufungulia eletron machines za ballot walijulikana, ututajie?
HahahaHiyo inakuwaga ndo menu ya siku ya pili. Siunajua siku ya kwanza ni ya kukaribisha mgeni. Siku ya tatu inabadilika, supu yenye harufu tu ya kabeji, afu unga/uji/mfano wa sima unaelea juu yake kama kimba. Siku ya nne, ndugu yangu, acha tu! π Inakuwaga ni siku ya zile nyimbo, Paulo na Silaaaa waliombaah! X15. ππ
HahahaEti anatoroka medically advanced country, anakwenda nchi ambayo ilishindwa hata kunyoosha pua la Issac Rutto[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Duu, bwege!Mkui rogo mlitandika ngap vileeee
Sasa huyu bwege huku eti magazine yote inaisha bado kashindwa kulenga kichwa cha nyoka 'liss.a'
Mkui rogo mlitandika ngap vileeee
Sasa huyu bwege huku eti magazine yote inaisha bado kashindwa kulenga kichwa cha nyoka 'liss.a'
Nimekupata ya Lissu ilikuwa ni akshen kwenye Bongo movie. Sikujua.
Moto wa waka walahi tena!Jana prof moja wa Kenya ambaye ni mchambuzi wa siasa za Kenya akihojiwa na DW aliulizwa nini maoni yake kufuatia kauli ya mwanasheria Mkuu wa serikali kwamba Raila amefanya uhaini , jamaa alijibu hivi " hata kama ni kweli alichofanya Raila ni uhaini ni nani ataweza kumkamta Raila hapa Kenya na kumuweka ndani walau kwa siku moja? Akasema hakuna hakuna wa kumfunga Raila, hakuna wa kumkamata hayo maneno ni porojo tu" kwa ile kauli hata kukamatwa kwa huyu MP kunaweza kupelekea kunadaliwa kwa movement nyingine kwa siku za usoni, maana sidhani kama Raila atachukulia poa TJ Kajwang' kufungwa. Na kwasasa chochote atakachosema Raila wafuasi wake wako tayari kufanya maana wanamtambua kama Rais wao.