Mbunge aliyeongoza kuapishwa kwa Raila Odinga jana akamatwa

Eti anatoroka medically advanced country, anakwenda nchi ambayo ilishindwa hata kunyoosha pua la Issac Rutto[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hiyo medically advanced country ndo gani hiyo? Tz? Hahaha very funny. 🙂 Mbona Isack Rutto hakuja kutibiwa Tz? Ila hapa tunaongea kuhusu T.J Kajwang, mbunge wa Ruaraka, Nairobi, Kenya. Sasa hivi alipo vilainishi vinamhusu. 😀 Utafanya nini kuhusu hilo?
 
Tanzania leo tumewafanyia watoto watano cochlear implant surgery katika Hospital za serikali, itawachukua kati ya miaka kumi hadi ishirini kwa surgery kama hii kufanyika hapo Kenyatta Hospital[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah sawa sawa jombaa, ukirudi kwenye mada ya uzi huu nitag.
 
Aliuawa aboud rogo hadharan mchana kweupe

Mi huwa nashangaa tunavyolinganisha Kenya na Tz kwny umafia
Ni kweli kwenye anga hizo bado hatujawafikia wakenya
 
Hapa umemanisha ugali na supu/maji ya moto yenye kabeji.😀
Hiyo inakuwaga ndo menu ya siku ya pili. Siunajua siku ya kwanza ni ya kukaribisha mgeni. Siku ya tatu inabadilika, supu yenye harufu tu ya kabeji, afu unga/uji/mfano wa sima unaelea juu yake kama kimba. Siku ya nne, ndugu yangu, acha tu! 😀 Inakuwaga ni siku ya zile nyimbo, Paulo na Silaaaa waliombaah! X15. 😀😀
 
Hahaha
Weee haki ya Mola wangu walahi
 
Jana prof moja wa Kenya ambaye ni mchambuzi wa siasa za Kenya akihojiwa na DW aliulizwa nini maoni yake kufuatia kauli ya mwanasheria Mkuu wa serikali kwamba Raila amefanya uhaini , jamaa alijibu hivi " hata kama ni kweli alichofanya Raila ni uhaini ni nani ataweza kumkamta Raila hapa Kenya na kumuweka ndani walau kwa siku moja? Akasema hakuna hakuna wa kumfunga Raila, hakuna wa kumkamata hayo maneno ni porojo tu" kwa ile kauli hata kukamatwa kwa huyu MP kunaweza kupelekea kunadaliwa kwa movement nyingine kwa siku za usoni, maana sidhani kama Raila atachukulia poa TJ Kajwang' kufungwa. Na kwasasa chochote atakachosema Raila wafuasi wake wako tayari kufanya maana wanamtambua kama Rais wao.
 
Moto wa waka walahi tena!
 
Chadomo mbona leo siwaoni waje walambe makalio ya baba wa democracy, bado odinga nae atawekwa korokoroni anaanzia mashinani kwanza.
 
Back
Top Bottom