pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hiyo medically advanced country ndo gani hiyo? Tz? Hahaha very funny. 🙂 Mbona Isack Rutto hakuja kutibiwa Tz? Ila hapa tunaongea kuhusu T.J Kajwang, mbunge wa Ruaraka, Nairobi, Kenya. Sasa hivi alipo vilainishi vinamhusu. 😀 Utafanya nini kuhusu hilo?Eti anatoroka medically advanced country, anakwenda nchi ambayo ilishindwa hata kunyoosha pua la Issac Rutto[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]