Mbunge aliyeongoza kuapishwa kwa Raila Odinga jana akamatwa

Waandishi wetu ni mburulaz yaani kutafuta details kuwa huyu jamaa kwa sasa si mbunge wa Ruaraka kimewashinda nini?
Kwanini unasema si mbunge? Atapoteza ubunge wake, pale ambapo mahakama yeyote ile itakapompa kifungo cha miezi zaidi ya sita. Hii ni kwa mujibu wa katiba ya Kenya 2010.
 
Aliuawa aboud rogo hadharan mchana kweupe

Mi huwa nashangaa tunavyolinganisha Kenya na Tz kwny umafia
Rogo alistahili kifo, hata hivyo walimchelewesha sana, maana kwa uhuni aliokuwa anafanya angeiletea Kenya matatizo makubwa sana.
 
Vp msando nae alistahl kifo????
Namzungumzia Rogo, ujue hata Tz kuna chizi mmoja alijiita sheikh Hassan ilunga alikuwa anafuata nyendo za Rogo alikuwa anahubiri chuki, uhasama, visasi na kuchochea vurugu.tafuta video zao weka hapa ndani uone hatari walizokuwa wanataka kuzileta.
 
Na mm s nmekuulza kuhusu msando pia
Au hutak mkuu niulze hlo??
 
Kwanza hoja yako nini hasa unachotaka kutuambia? labda una hoja embu funguka nijue nini unataka kusema.
 
Serekari ya Kenya imeanza kuchafua video yetu walivyo kaa kimya ilipendeza sana raisi kaapishwa kaenda ikulu nyumbani kwake si maigizo mazuri tu sasa iweje wanawakamta baada ya tukio wangezuia mapema
 
Wange mkamata odinga nae wafundishwe kufuata sheria
 
Namzungumzia Rogo, ujue hata Tz kuna chizi mmoja alijiita sheikh Hassan ilunga alikuwa anafuata nyendo za Rogo alikuwa anahubiri chuki, uhasama, visasi na kuchochea vurugu.tafuta video zao weka hapa ndani uone hatari walizokuwa wanataka kuzileta.
Bdo yupo anaendelea mkuu, au walimficha ndani?
 
Nimekupata ya Lissu ilikuwa ni akshen kwenye Bongo movie. Sikujua.
We unavyoona wangepewa kaz wale watu wenu walompeleka rogo kula bata na msando unafikir liss.a angepona na kuendelea kuongea pumba zake
 
Demokrasia ni kuachiwa huru watu wafanye mambo yao lakini baada ya kufanya inaweza ikabainika umefanya kosa kikatiba unaweza kushitakiwa.
Kufunga vyombo vya habar sio kuminya demokrasia
Kupiga mabom nyumba ya mpinzan na risas kedekede sio kuminy demokrasia??
 
Kwa mfano katiba imesema ufanye mkutano wa siasa lakini umepewa wakati maalum kumaliza ukizidisha unaweza kushitakiwa.
Katiba inasema fungia vyombo vya habar watu wasione rais odinga akiapishwa is that demokrasia???
 
Wange mkamata odinga nae wafundishwe kufuata sheria
walionyakua roho ya msando wameshajulikana?.
Hivi wale walomuua Chriss Msando wanameshajulikana
R.I.P Msando, wengi wanakukumbuka. File ya uchunguzi wa kifo cha Msando bado haijafungwa. Kama mna habari kuhusu kifo chake tafadhali fikeni kwenye Embassy ya Kenya. Ila kutumia jicho langu la tatu kuna mengi ambayo yaliyokuwa na utata kuhusu kifo chake. Serikali imuue kisha itupe mwili wake kule Kiambu, ngome ya chama tawala cha Jubilee. Kuna wale ambao walitumia kifo cha Musando, hata kabla azikwe kama agenda yao kuu kwenye kampeni zao. Ila Maulana ndo anajua yote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…