Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unasema si mbunge? Atapoteza ubunge wake, pale ambapo mahakama yeyote ile itakapompa kifungo cha miezi zaidi ya sita. Hii ni kwa mujibu wa katiba ya Kenya 2010.Waandishi wetu ni mburulaz yaani kutafuta details kuwa huyu jamaa kwa sasa si mbunge wa Ruaraka kimewashinda nini?
Rogo alistahili kifo, hata hivyo walimchelewesha sana, maana kwa uhuni aliokuwa anafanya angeiletea Kenya matatizo makubwa sana.Aliuawa aboud rogo hadharan mchana kweupe
Mi huwa nashangaa tunavyolinganisha Kenya na Tz kwny umafia
View attachment 688155
Mbunge wa Ruaraka, MP TJ Kajwang’, ambaye ndiye aliongoza tukio la kuapishwa kwa kiongozi wa NASA, Raila Odinga amekamatwa
Mbunge huyo amekamatwa leo na askari polisi waliokuwa hawana sare nje ya mahakama ya Milimanji Jijijni Nairobi
===================================================
Ruaraka, MP TJ Kajwang who led the “swearing-in” of Nasa leader Raila Odinga at Uhuru Park Tuesday has been arrested.
The MP was arrested Wednesday afternoon by plain clothes police officers outside the Milimani Law Courts in Nairobi.
He had just appeared before High Court judge George Odunga for a ruling in a case he is representing MPs who are challenging the reduction of their salaries and allowances.
Mr Kajwang’ and another lawyer, Miguna Miguna, were at the centre of events at Uhuru Park that culminated in the “swearing-in” of Mr Odinga as the ‘people’s president’.
During the ceremony, Mr Kajwang’ donned a lawyers’ robe and wig and received a thunderous welcome by Nasa supporters.
As Mr Odinga took the “oath”, Mr Kajwang’ stood right behind him, although his role remained unclear.
Source: Daily Nation
Vp msando nae alistahl kifo????Rogo alistahili kifo, hata hivyo walimchelewesha sana, maana kwa uhuni aliokuwa anafanya angeiletea Kenya matatizo makubwa sana.
Namzungumzia Rogo, ujue hata Tz kuna chizi mmoja alijiita sheikh Hassan ilunga alikuwa anafuata nyendo za Rogo alikuwa anahubiri chuki, uhasama, visasi na kuchochea vurugu.tafuta video zao weka hapa ndani uone hatari walizokuwa wanataka kuzileta.Vp msando nae alistahl kifo????
Na mm s nmekuulza kuhusu msando piaNamzungumzia Rogo, ujue hata Tz kuna chizi mmoja alijiita sheikh Hassan ilunga alikuwa anafuata nyendo za Rogo alikuwa anahubiri chuki, uhasama, visasi na kuchochea vurugu.tafuta video zao weka hapa ndani uone hatari walizokuwa wanataka kuzileta.
walionyakua roho ya msando wameshajulikana?.Huku Kenya huwa wanajulikana.
Wange mkamata odinga nae wafundishwe kufuata sheriaView attachment 688155
Mbunge wa Ruaraka, MP TJ Kajwang’, ambaye ndiye aliongoza tukio la kuapishwa kwa kiongozi wa NASA, Raila Odinga amekamatwa
Mbunge huyo amekamatwa leo na askari polisi waliokuwa hawana sare nje ya mahakama ya Milimanji Jijijni Nairobi
===================================================
Ruaraka, MP TJ Kajwang who led the “swearing-in” of Nasa leader Raila Odinga at Uhuru Park Tuesday has been arrested.
The MP was arrested Wednesday afternoon by plain clothes police officers outside the Milimani Law Courts in Nairobi.
He had just appeared before High Court judge George Odunga for a ruling in a case he is representing MPs who are challenging the reduction of their salaries and allowances.
Mr Kajwang’ and another lawyer, Miguna Miguna, were at the centre of events at Uhuru Park that culminated in the “swearing-in” of Mr Odinga as the ‘people’s president’.
During the ceremony, Mr Kajwang’ donned a lawyers’ robe and wig and received a thunderous welcome by Nasa supporters.
As Mr Odinga took the “oath”, Mr Kajwang’ stood right behind him, although his role remained unclear.
Source: Daily Nation
Hivi wale walomuua Chriss Msando wanameshajulikanaHuku Kenya huwa wanajulikana.
Bdo yupo anaendelea mkuu, au walimficha ndani?Namzungumzia Rogo, ujue hata Tz kuna chizi mmoja alijiita sheikh Hassan ilunga alikuwa anafuata nyendo za Rogo alikuwa anahubiri chuki, uhasama, visasi na kuchochea vurugu.tafuta video zao weka hapa ndani uone hatari walizokuwa wanataka kuzileta.
We unavyoona wangepewa kaz wale watu wenu walompeleka rogo kula bata na msando unafikir liss.a angepona na kuendelea kuongea pumba zakeNimekupata ya Lissu ilikuwa ni akshen kwenye Bongo movie. Sikujua.
Kufunga vyombo vya habar sio kuminya demokrasiaDemokrasia ni kuachiwa huru watu wafanye mambo yao lakini baada ya kufanya inaweza ikabainika umefanya kosa kikatiba unaweza kushitakiwa.
Katiba inasema fungia vyombo vya habar watu wasione rais odinga akiapishwa is that demokrasia???Kwa mfano katiba imesema ufanye mkutano wa siasa lakini umepewa wakati maalum kumaliza ukizidisha unaweza kushitakiwa.
Wange mkamata odinga nae wafundishwe kufuata sheria
walionyakua roho ya msando wameshajulikana?.
R.I.P Msando, wengi wanakukumbuka. File ya uchunguzi wa kifo cha Msando bado haijafungwa. Kama mna habari kuhusu kifo chake tafadhali fikeni kwenye Embassy ya Kenya. Ila kutumia jicho langu la tatu kuna mengi ambayo yaliyokuwa na utata kuhusu kifo chake. Serikali imuue kisha itupe mwili wake kule Kiambu, ngome ya chama tawala cha Jubilee. Kuna wale ambao walitumia kifo cha Musando, hata kabla azikwe kama agenda yao kuu kwenye kampeni zao. Ila Maulana ndo anajua yote!Hivi wale walomuua Chriss Msando wanameshajulikana