Mbunge Ally Kessy: Road licence ihamishiwe kwenye mafuta(petrol & diesel)

Mbunge Ally Kessy: Road licence ihamishiwe kwenye mafuta(petrol & diesel)

Hoja nzuri lakini why mafuta... mafuta ... mkumbuke Rea wanachukua hela kwenye mafuta ewura nao kuna Reli pia inachukua hela kwenye sekta hii hii ya chombo cha moto (pale unapotoa gari bandalini wanakata hii)
TRA wanachao huko,sina hakika sana na TPBC kama nao hawapigi chochote kwenye mafuta sasa tunaleta Road/L .
Ninachoona itakavyokuwa Dar to Mbeya 75000.
Arusha -Dar 48000 na Dom to Dar 38000 .
But sio mbaya serikali unataka fedha ili kutupa bora maisha.
 
Kwani sisi wote tunaonunua mafuta tuna magari?mm nina mashine ya zege tu
 
Hv mafuta ni kwa ajili ya vyombo vinavyotembea barabarani tu?? Vipi cc wenye mashine za kusaga??
 
  • Thanks
Reactions: SDG
hii ndio njia rahisi na sahihi zaidi maana gari inayotembea sana ndiyo inayotumia barabara zaidi na kulipia zaidi matumizi ya barabara maana kipimo kizuri cha kupima umbali ni mafuta uliyotumia. Gari haiwezi kutembea bila mafuta hivyo gari iliyopaki miaka mitatu ndani ni dhambi kubwa kuitoza malimbikizo ya road license!
HOWEVER: Inawezekana TRA na wakubwa wa wizara waliokuwa wamekaa kiupigaji zaidi walikuwa wanasita kwa sababu walijua michezo ya flow miters kule Vijibweni pamoja na mafuta yasiyolipiwa kodi. Kama serikali inaweza kudhibiti biashara ya mafuta kwa asilimia 90% inaweza kuvuna mabilioni mara zaidi ya 200 kwa kutoza asilimia ndogo sana kulinganisha na huu utozwaji wa sasa!
 
hoja ya maana sana hii ila imekosa wachangiaji ingekuwa udaku ingekuwa na page kadhaa
kwa upande wa magar sawa.je wanaotumia jenereta,mashine za kusaga na pumpu za maji huon tutakua tunaonewa.
 
_20170602_123834.JPG
 
Hii ni moja ya michango bora katika Bunge linaloendelea sasa. Hamna gari inayostahili kulipia road licence kama haipo barabarani, cha ajabu wamiliki wenye magari yasiyotembea kwa ubovu ama ajali yangali yanachajiwa road licence na penalty juu na zaidi ya yote hata kama gari langu ni zima ila siko barabarani kwa muda tajwa ya nini nilipie road licence?

Wenye mamlaka jiongezeni kidogo tu, hamna gari itakayokuwa barabarani bila nishati na kadiri mtu atakavyotumia barabara ndivyo jinsi itakovyombidi kununua nishati husika na ndivyo jinsi atakavyolipia barabara na probably kipato cha serikali kitaongezeka zaidi.

Hongera mtoa hoja, hongera wabunge wote mwitikio wenu tumeuona, kazi kwenu serikali!!


=====

Serikali imeahidi kuifanyia marekebisho sheria inayoagiza tozo ya umiliki wa vyombo vya moto (road license) ili kuondoa kero kwa wananchi.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji amesema hayo bungeni leo (Ijumaa) alipojibu swali la Dk Raphael Chegeni aliyetoa pendekezo hilo ili kodi hiyo iendane na matumizi halisi ya vyombo vya moto barabarani.

"Tozo hii ipo kisheria. Serikali imesikia mapendekezo ya wabunge na itaangalia namna nzuri ya kuboresha ukusanyaji wa mapato hayo," amesema Dk Kijaji.

Wabunge wengi, akiwamo Spika wa Bunge Job Ndugai wamependekeza kufutwa kwa kodi hiyo inayowaathiri zaidi walioegesha magari kwa muda mrefu kutokana na ubovu au ajali.
Nakubaliana nayo kwa asilimia 100.111!
Kwanza itaongeza mapato sana. Kila lita ikipangiwa hata Tsh 50 ni pesa ndefu sana.
Swali ni je:-
1. Itakua bei gani kwa Lita
2. Mafuta ya taa itakuaje?
Kuna watu wako vijijini wanatumia mafuta yasiyo rasmi,je wao hela yao itapatikana vipi?!
 
Katika mambo muhinu yatakayoleta pesa bila shida ni hilo na uhalisia let's say hata wakiweka shilingi hamsini tu watapata income kubwa sana! basi inayotumia 600 lts a day italipa 30000 Kwa siku times 30 Kwa mwezi pekee itakua 900000 Kwa mwaka ni hela ya kutosha! na wakifanya hivyo hata machines zisizo fika barabarani zitachangia pato kubwa LA taifa! imaging machines za migodini per day wanatumia mpaka Lita 10000 plus hivi watasumbuana na daladala kweli! please wabunge amkeni itasaidia all way out
Yeah,utakuwa ni ubunifu mkubwa. Kama hilo likifanyika itakua jambo jema. Cha msingi ni kuwabana wenye vituo vya mafuta wasiingize mali za magendo wakajipatia super profit.
 
Mungu amesikia maombi yangu, Road Licence ni kodi iliyopitwa na wakati, kumiliki chombo cha usafiri sio adhabu. Serikali ione kuwa usafiri ni nyenzo, ipunguze kodi za uingizaji wa vyombo vya motor, watu wengi wataagiza, tozo iondolewe irudishwe kwenye mafuta kama zamani.Serikali itapata fedha nyingi kwenye manunuzi ya Mafuta.
 
Kutakuwa na vituo vya aina mbili. Vtuo vya mafuta vya wenye vyombo vya moto (gari,pkpk nk), Na vituo vya mafuta kwa ajili ya majenereta na vifaa vingine visivyotembea baraabarani????
Hivyo visivyo tembea barabarani vinafikishiwaje petrol bila kutumia barabara? Nauliza tu.
 
Af kwa nini watu wengi tunasema ihamishiwe kwenye mafuta na sio ifutwe kabisa?

Kuna kingine hakisemwi kuna 30,000 ya fire tunalipa kipindi unalipia road license na hii sijui huwa ina inaenda wapi.
 
Hakuna ubuni mwingine zaidi ya mafuta? REA, UJENZI, MAJI, EUWURA, ROAD LICENCE, VAT, NK. Jamani
Inaudhi sana, nashindwa kuelewa kwann serikali isifanye biashara za uzalishaji ipate hela waache kutukamua kiasi hiki. Nchi nzima kila kona traffic polisi wanavizia madreva wawanyuke notifications
 
Inaudhi sana, nashindwa kuelewa kwann serikali isifanye biashara za uzalishaji ipate hela waache kutukamua kiasi hiki. Nchi nzima kila kona traffic polisi wanavizia madreva wawanyuke notifications
Wabunge kama kibajaji unategemea kuna akili humo ndani?
 
Back
Top Bottom