Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,189
Hapo ndio wataalam wetu tutawahitaji watutengenezee mfumo mzuri wa kutowaumiza moja kwa moja wasiotumia barabara kwa shughuli zao za kila siku kwa kuwa hiyo tozo inahusu watumia barabaraSawa lakini kama alivyojibu jamaa kuna mitambo amabayo hutumia mafuta pia na haina uhusiano wowote na barabara
Je utajuaje kama mafuta nayonunua yanaenda kwenye izo generator na si kwenye gir?Kutakuwa na vituo vya aina mbili. Vtuo vya mafuta vya wenye vyombo vya moto (gari,pkpk nk), Na vituo vya mafuta kwa ajili ya majenereta na vifaa vingine visivyotembea baraabarani????
Unajua mafuta ya kuendeshea hayatumiwi na vya barabarani tu? Kuna mashine za nafaka, vyombo vya majini, generata za umeme nk. Huoni utawabebesha mzigo wasiohusika? Bunge liwe makini na mawazo ambayo nahisi hayana utafiti.
Unajua mafuta ya kuendeshea hayatumiwi na vya barabarani tu? Kuna mashine za nafaka, vyombo vya majini, generata za umeme nk. Huoni utawabebesha mzigo wasiohusika? Bunge liwe makini na mawazo ambayo nahisi hayana utafiti.
Sawa lakini kama alivyojibu jamaa kuna mitambo amabayo hutumia mafuta pia na haina uhusiano wowote na barabara
Leo naona na mafuta ya taa yameingizwa kwenye mpango huu ina maana vibatari vyetu vinatumia barabara?Je utajuaje kama mafuta nayonunua yanaenda kwenye izo generator na si kwenye gir?
Baba umeongea point saluti kwakoKutakuwa na vituo vya aina mbili. Vtuo vya mafuta vya wenye vyombo vya moto (gari,pkpk nk), Na vituo vya mafuta kwa ajili ya majenereta na vifaa vingine visivyotembea baraabarani????