Ginner
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 1,576
- 2,227
hili ni wazo bora sana kutoka kwa waheshimiwa. na itaongeza sana tax base. wengi sana watalipia kodi ya barabara. watu wanahoji hapa vipi kuhusu wasio na vyombo vya moto, wanasahau watumiaji wa barabara sio wenye magari pekee. hata watembea kwa miguu nao wanatumia barabara.
tusiwe na wazo finyu kuwa barabara ni lami pekee, hata hizi za mitaani nazo ni barabara. hata yule wa kijijini anafikishiwa sukari toka kilombero kwa barabara, lazma ailipie. maana isingekuwepo labda hata ile bidhaa asingeipata.
swala la barabara liwe ni la kila mmoja wetu, si jukumu la wenye magari pekee kulipia hii kodi, ni jukumu la kila mtu. hata abiria wanaotumia daladala walipie hii kitu, maana bila barabara wasingefika kokote.