Mbunge Aloyce Andrew Kwezi Aishauri Wizara ya Kilimo Kujenga Kiwanda cha Kuchakata Tumbaku Kaliua

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
MBUNGE ALOYCE KWEZI AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUJENGA KIWANDA CHA KUCHAKATA TUMBAKU KALIUA

Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Aloyce Andrew Kwezi wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo amewaomba wabunge wote kuunga mkono hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe

"Zao la Tumbaku katika Mkoa wa Tabora ndiyo siri kubwa ya ukuaji uchumi. Zao la Tumbaku katika nchi yetu Tanzania 🇹🇿 ndiyo zao la pili linalochangia fedha nyingi za kigeni baada ya Kahawa" - Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge wa Kaliua

"Baada ya Mhe. Bashe kuondoa ukomo kwa mkulima azalishe kiasi gani cha Tumbaku, Tumbaku inakwenda kuipiku Kahawa. Mchango wa Tumbaku kwenye fedha za kigeni unakwenda kuwa mkubwa kuliko Dola Milioni 154 zilizotajwa hapa Bungeni" - Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge Kaliua

"Makampuni mengi yamejitokeza kununua Tumbaku, Tumbaku inafika mpaka Dola 3. Makampuni yaliyofanya vizuri ni Kampuni ya Mkwawa, Kampuni ya kutoka Zimbabwe 🇿🇼 na Kampuni ya JTI. Makampuni yanayonunua Tumbaku chini ya dola moja yajitafakari kwa sababu mambo ni mazuri kwa Kampuni zingine" - Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge Kaliua

"Kaliua ndio Wilaya inayoongoza kwa kuzalisha Tumbaku kwa wingi kwa sababu Mkoa wa Tabora ndio unaozalisha nusu ya Tumbaku nchi nzima. Kaliua ndio inayozalisha nusu ya Tumbaku katika Mkoa wa Tabora. Ni kwanini tunashindwa kujenga viwanda vya kuchakata Tumbaku Kaliua?" - Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge Kaliua

"Mzee Kisamvu, mzee Kachala, mzee Mwaisame wanataka kiwanda angalau cha kuchakata Tumbaku kijengwe Kaliua. Pale tuna miundombinu, Maji, Umeme na Reli iko safi kwa kwenda Mpanda, Kigoma na Dar es Salaam. Tusiweke kituo kimoja tu cha Morogoro" - Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge Kaliua

"Mbolea ya kupandia huwa inawahi sana, mwezi wa nane imeshafika. Kwanini Mbolea ya mazao mengine isifike mwezi wa nane? Naomba mwaka huu tusipate adha ya Mbolea kuchelewa. Ije kwa wakati lakini ije kwa kutosheleza vituo vyote" - Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge Kaliua

"Jambo la umwagiliaji, bwawa la Igwisi lipo Kaliua, Kaliua mvua ni ya msimu mmoja. Tunataka kipindi cha kiangazi tuvune Maji ya Zugimlole tuwe na bwawa na Igunga tuwe na bwawa ili tuwe na mradi wa umwagiliaji mzuri" - Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge Kaliua

"Tunaomba kwenye maghala muwahishe mchakato kwa sababu tenda imeshatangazwa na Wilaya ya Kaliua ndio Wilaya inayoongoza kwa kuzalisha mazao katika Mkoa wa Tabora. Mapato yote ya ndani yanategemea mazao. Ninaomba mchakato wa ujenzi wa maghala uende kwa kasi ili wananchi wa Kaliua waweze kunufaika" - Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge Kaliua

"Kigoma jiografia yake inafanana na Kaliua ndio maana tulipokea mbegu za Michikichi na Mbegu za Alizeti. Nikuombe mwaka huu zije mapema. Sisi kazi yetu ni kulima na kuhamasisha. Tuendelee kuwaelimisha wananchi ili wahifadhi chakula kwa sababu maeneo mengi ya Kaliua wamelima Tumbaku" - Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge Kaliua.

WhatsApp Image 2023-05-09 at 00.05.01.jpeg

WhatsApp Image 2023-05-09 at 00.06.57.jpeg
 
Tumbaku inachafua sana mazingira, kulikuwa na kampeni ya kutafuta zao mbadala Ili tuachane na tumbaku huko tabora na mojawapo ya suggestions ilikuwa ni korosho na pamba! Huu mpango ulifia wapi??
 
Mbunge hawatendei haki wananchi wake...katika mazao kandamizi Nchi hii Tumbaku inaongoza.Wazee wetu wamelima,Watoto tumelima na Wajukuu wanalima...hakuna walichoambulia
 
Yaani Ulaya wamekosa Xmas nyeupe na hawataiona tena kisa Global warming na nyie mnataka kumaliza miti yote
Sijawahi kuona December hali ya hewa 11°c huku ni maajabu

Huyo mbunge hana analojua kuhusu Dunia ya leo na hali ilivyo
Wakulima au makanjanja hao
Waliuza tumbaku wakajaza mpaka mawe, mapembe ya ng'ombe, batteries zilizokufa za magari
Yaani vurugu tu
Waachane na tumbaku Dunia ya leo imepunguza sana uvutaji na biashara hii inaenda kufa
 
Back
Top Bottom